Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 7,006
- 13,330
Unatusubiri tuondokeNgoja nipite kabla hawajawa wengiπ
Kwani kuna ubaya mkija wote kunitembelea babu yenu π€ͺMzee mwenyewe wewe unataka kila mjukuu akuletee kiko utakufa vibaya nakuhurumiaππ
Jishikilie mzee usituchanganye kama ngano ebooKwani kuna ubaya mkija wote kunitembelea babu yenu π€ͺ
Kumbuka menu uliyoniagiza kuitumia, imeshaanza kufanya kazi π€
Wewe sasa unafeli πUnatusubiri tuondoke
Sawa basi wacha tuorganize tuje wote ili usisumbue mmoja mmoja!Kwani kuna ubaya mkija wote kunitembelea babu yenu π€ͺ
Kumbuka menu uliyoniagiza kuitumia, imeshaanza kufanya kazi π€
Irudiwe banaWewe sasa unafeli π
UmesemaSawa basi wacha tuorganize tuje wote ili usisumbue mmoja mmoja!
Irudiwe bana
NdioUmesema
Wanasema hawawezi kazi ya kuamsha kitu hakiamki hata ukianza kuimba na maiki masaa 5 π€ͺWajukuu hawajakuoneaga tu huruma mpaka leo mzeeπ
Anajizima dataNdio
Tuwatoe hofu kwambaβ¦!Wanasema hawawezi kazi ya kuamsha kitu hakiamki hata ukianza kuimba na maiki masaa 5 π€ͺ
Ukitulia nambie
Koh koh π€Sawa basi wacha tuorganize tuje wote ili usisumbue mmoja mmoja!
Nikoa hapa nimetulia tuliUkitulia nambie
Roho mbaya tu πUmesema
Msupuu kabisaa sema ilo bango usoni kubwa sana, limemaliza utam woteKama vile kuna cha maana sasa
Hahhaa hebu mzee unanichanganya hapa tu nshachanya mambo!Koh koh π€
Maji matamu ya kisima ni yale unaingiza kata yako mwenyewe, kata zikiwa nyingi kwa pamoja kuna dalili kisima kikakausha maji π€ͺππ
π π nipe kwanza 10k niagize bia nione kama nitaacha roho mbayaRoho mbaya tu π