Chica Gee
JF-Expert Member
- Jul 13, 2021
- 3,355
- 9,432
Sikumbuki uzi gani? Ulikuwa unakula gambeHumu Selfika?. Aaah sidhan.
Sikumbuki uzi gani? Ulikuwa unakula gambeHumu Selfika?. Aaah sidhan.
Weee nilikimbilia gym ilibaki kidogo niwe na ka mwili kama ka Tayana-wog saivi tena nashangaa nanenepa tena 😢Ulifanya nini tena?😁
Niachwe plz 😂We nomaaa aisee😀
Kweli nilikuona na dred zako umevaa hoodie 😹😹Duuuuh 😂yaaan hapa nilikuwa nafanya process ili nipite naona hii comment tena basi nimeghairi 🙌
HahahqWeee nilikimbilia gym ilibaki kidogo niwe na ka mwili kama ka Tayana-wog saivi tena nashangaa nanenepa tena 😢
😊ndiyo hivyo hivyo vya kuringia, MUNGU hakupi vyote si unajua kila mtu na uzuri wake?Aah wapi 😹
Dimple tu zinanibeba na rangi..!
Ngoja niandike wosia kabisa, kwa hiyo menu uliyoniandikia inaonesha hata nikimeza dawa zangu za Presha na kisukari haziwezi kunisaidia 😅Ongezea na korosho na maziwa
Baadae kidogo piga chai ya tangawizi kalii
Nikikaribia kahawa huku unatafuna mbegu za almond tukutane jikoni kuchoma mahindi
Kamwili kadogo katam balaa, mimi gym hapana aisee naona bima yangu ya bima imekatwa bure tu, yani mvivu kila nikiwaza tako linaisha naghairi🤣Weee nilikimbilia gym ilibaki kidogo niwe na ka mwili kama ka Tayana-wog saivi tena nashangaa nanenepa tena 😢
Last born kasumbufuu!!Niachwe plz 😂
Sheenziiiiii🤣🤣🤣Ngoja niandike wosia kabisa, kwa hiyo menu uliyoniandikia inaonesha hata nikimeza dawa zangu za Presha na kisukari haziwezi kunisaidia 😅
Sawa soonPita kabla wengine hatujazima bwana🥲
Tayana siku hizi jeuri babu..!!Bibi yenu hajambo, ila tangu aende huko niko napigwa na baridi tu 🤭
Zawadi yako nimeitunza tu, Tayana bado hajaja kuniletea Kiko
Ss nifute wapi maana we ushafuta picha mi nafuta nn?Futa bana uku naiona
mrembo huyu nyieMawardat Bismillah MashaAllah 🥰🥰🥰🥰🥰 mie ningekua mwanaume wallah ningekua malaya lol🙌
Jmn anasema bado anaionaHakunaaa ni chai
Daah! Nani huyo aliinyaka hiyo, nikajua umeona kwa Kantri sasa yeye hana hiyo mbona hii kasheshe 😂😂😂Kweli nilikuona na dred zako umevaa hoodie 😹😹