Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kamwili kadogo katam balaa, mimi gym hapana aisee naona bima yangu ya bima imekatwa bure tu, yani mvivu kila nikiwaza tako linaisha naghairi🤣
Na sheria ya kupungua unapungu koote 🤣🤣ila tacroo haliwezi kuisha lote ila ukiacha woiiiii saiv naogopa kupost status maana nilivyopungua nilisimanga watu
 
Tayana siku hizi jeuri babu..!!
Pole kwa baridi nitamtuma da Mau aje kukuchemshia chai ya tangawizi upate joto..!.! 😹
Nitashukuru sana akija, maana hili baridi litaniua babu yenu 🤪
 
Aaah , Karibu
IMG-20260606-WA0012.jpg
 
Back
Top Bottom