ππππ oya emu wacha hizo, sasa nalipataje mimi?Kaskazini mwa nchi vs Kusini mwa nchi,, hakuna kutuma arifu.. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa chat tu, picha nenda Facebook hukoPicha na chat
Weeeeeeee ,unatumia facebook ndiyo maaaaaanaHapa chat tu, picha nenda Facebook huko
Nice shoes
Hivi mbeya ile shule ya meta ipo au ilihama
Utatuma kwa bus
Unalala sana
Baba J ππ
ππ
Nimetoka kumwambia mtu kwamba hapa watu wanabishana na baba zao bila kujua.Sijadharau mahali, sikuwa najua kuna vijana wana 18-22yo humu. Sasa naelewa.
Ilihama, iko Dodoma sasahivi.
Hahaahahaha aisehhhh imehama jina au na majengo yake
Na majengo.
Karma umeona