Hakuna cha cheap, hujui tu navopambana kuuza huu mkaa wangu uishe. Kisha uone msg ya imethibitishwa kwa simu yako.Mie cheap kuniona chap shemela๐ ๐
Umenipa bonge moja ya assist tatizo wadada hawataifanyia kazi.Kwa maandishi ya mtu unaweza kukisia ni mtu wa design gani, huwa nakuona ni mwema hata kucheat hujui๐
Sawa ba mkaliWe sitaki uteseke nakukatia bima ya maisha.
Vimba mama!Sawa ba mkali
Ba mtu๐คฃ
Humu kumekaa kimitego sana, japo nilishawahi kupata mchuchu ila siku hizi ananipondea kiaina๐Kuna wewe kupita tu la mama๐
Kuna uzi umesema madem wote wa jf wabaya๐๐๐คNan kasema?
Hebu tetemesha server za Maxemello
Maneno haya sio mageni jijini aisee ๐Hakuna cha cheap, hujui tu navopambana kuuza huu mkaa wangu uishe. Kisha uone msg ya imethibitishwa kwa simu yako.
Najua sasa hivi hayupo bwana nibless j2 yangu beer zangu zishuke๐๐ฝHumu kumekaa kimitego sana, japo nilishawahi kupata mchuchu ila siku hizi ananipondea kiaina๐
Sina picha mpya ma mkaliPita mama mchunga hilo swala la uzuri liko machoni kwa muonaji wala sio swala lako kabisa, ondoa hofu๐
Kwani we ni ke au me ๐คHumu kumekaa kimitego sana, japo nilishawahi kupata mchuchu ila siku hizi ananipondea kiaina๐
Si ndio mapenzi yalivyo kwa sisi wabongo, mara chache sana kuachana kwa aman na tusisemane kwa ubaya, mazuri yote kapuni.. tupia picha tufurahiHumu kumekaa kimitego sana, japo nilishawahi kupata mchuchu ila siku hizi ananipondea kiaina๐
๐๐๐๐Umenipa bonge moja ya assist tatizo wadada hawataifanyia kazi.
Thubutuuuuuuuuuuu, sio kwa JfNajua sasa hivi hayupo bwana nibless j2 yangu beer zangu zishuke๐๐ฝ
Haya nimekosa uwifi mieDuh basi tena hao kwangu wadogo
๐๐๐๐ et kipofu kaona mwezi wakati ndo linazidi kulegeaNikitia mjani tu, nikiwa mzima linatoka kama kipofu kaona mwezi๐
Walimwengu utawaweza? Kwanza tumwone anayesema anafananajeKuna uzi umesema madem wote wa jf wabaya๐๐๐ค
Halafu mishangazi
Nipo katikati yaoKwani we ni ke au me ๐ค
Hakunaga kati kati ๐คฃNipo katikati yao
mbona haujatuita tukamuone huyo hensam wa JF๐Kuna uzi umesema madem wote wa jf wabaya๐๐๐ค
Halafu mishangazi