Ila BWZ Unanilisha maneno, nimesema chaguo la 2 kweliii?View attachment 3602221
Sikufikii wewe maji ya kwanza, niko nasubiri kichambo cha kukosa nuru π Coca kasema sisi vyeusi mangala ni machaguo ya pili huwa tunaonewa huruma tu ππ
Kajukuu kangu, anzeni tu kuniita bibi π
Hujambo ShesRise_1Fanya kuinua kicwa kidogo
Kwani wewe unakuaga wapiLD Mie nimepitwaaa, fanyaa kurudiaa Dear.
Nimepita mpk nimechoka πΉleo sijakuona kabisa, hebu ruka basi pacha.
Cheki munjya ina comedy kidogo, au train to busan
Hapo chachaaa, ππππMpuuzi yule mke wa Iyobo anaacha kuniface mwenyewe anajaza wengine maneno ya uongo πΉπΉ
Yeye apige battle na mimi ntu mbili na aseme anagombania nini kwanza..!
ππππ kwa kweliiiπΉπΉπΉ Uduguu wangu mzoee tu!
Wewe sio mweusi una rangi ya chenza bhana..!!
Huyo mjukuu wako wapi mfyuuu..!!
Unatufanya watoto sasa..!! Kwa uzee gani ulionao? πΉ
Pesa ipo washakua madoni haoπMapembelo, GNM wote watata wanashindana na silent ocean ya baba Riz moko..!! πΉπΉ
Halafu ukiwaona unakataa, kuna harusi moja hivi juzi kati hapo tulikiwasha wakinga. Pesa zilimwagwa km mvua GNM cargo alikuwa anaozesha..!!
Kabisa mkuu lazima kieleweka kwa namna yoyote ileLazima kielewekeπ₯
ππππ napitwaa na vitu vizuriii mie, Aloooh.ππππ
Igweeeeeeeee
Una sura nzuri mashallah π€©
Umeolewa? Namuulizia kaka yangu apate jiko hili chap..!!
Sema sura yako haiendani na maandishi yako. Sura ya upole maneno sasa πΉπΉ
Pita pm apoBaaaasi ππ
Angalia munjya au aparachit zote za kihindi.Nimepita mpk nimechoka πΉ
Unazurura sana tatizo, ngoja nicheck km nitaipata πΉπΉ
Hizo movie zenye comedy ndo vitu vyangu..!!
Countdown Already started π₯naombeni msilale kwanza nina jambo langu dakika 10 zijazo plzz
Jamani πShorii wa ambition, umeona kuna mtu kapinga?
Hapana π gudubaiEbu fanya upite hata pm
Pita pm apo
Mkuu chanel zinaeleweka lakini ama bado hapajaanza kutema?Kabisa mkuu lazima kieleweka kwa namna yoyote ile
Sijambo mkuuHujambo ShesRise_1
Aibu ya nini tena kichuna changu?Jamani π
Hadi naona aibu acha bhasiii..!!
Ukirudia ni tag kakaUlikua haupo mkuu nimepita tayali na kama unavyojua jinsia yetu kuwa na picha nyingi uwongo nitaludia tena mida
Mzungu ni shapeless hadi sio poaa, afanye nimgawiee katako kanguu.View attachment 3602317jua la utosini
πΉπΉπΉ Una case nyingi wewe leo!Khaaaah ππππ