Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mhm sio kweli mara ya mwisho tunaongea hauna hata kg 65 labda kama unakula nguruwe 🚮
sijamuonja mdudu nina muda mrefu sana, basi tu nimejiachia sana kipindi hiki, nataka kurelax huu mwaka, nimekuwa busy sana miaka ya nyuma aisee! wacha nipumue ninenepe nishindwe kupita mlangoni 😆
 
sijamuonja mdudu nina muda mrefu sana, basi tu nimejiachia sana kipindi hiki, nataka kurelax huu mwaka, nimekuwa busy sana miaka ya nyuma aisee! wacha nipue ninenepe nishindwe kupita mlangoni 😆
Hahaha acha A aanze kutaka kuongea na wewe 😅
 
Kesho anapelekwa kwa bibi yake, eti nakenyewe kanataka hela😄
Kijana, mtoto wa kike ni matunzo, likizo kama hii unamlipia swimming training week nzima, weekend anapelekwa playground mbona pesa zinakutoka vizuri tu!
 
Kijana, mtoto wa kike ni matunzo, likizo kama hii unamlipia swimming training week nzima, weekend anapelekwa playground mbona pesa zinakutoka vizuri tu!
Hahahaaha hapo mimi huwa sijali kabisa , kabinti kangu kananijua vizuri , leo nimeongea nako kanataka binduki eti😅😅😅
 
Back
Top Bottom