Tuma picha tuNashindwa kuelezea kwa maandishi, mkuu labda nitumie picha
We kijana acha kua serious bhana ππUnajua Mshana alipoanzisha huu uzi hapo chini sikuutilia maanani. Leo hata sijui ni kiranga gani kimenileta huku Selfika maana nimepata picha za karibia maingizo mapya yote. Labda nimebakiza ya Chica Gee na mwingine mmoja au wawili hivi. Hii intake yenu aisee ni moto wa kuotea mbali na wakongwe inabidi wawapishe na kuwapa heshima zenu tu maana hakuna namna. Watoto wabichi hata 20 sijui hamjafikisha halafu pisi za kueleweka.
JF hii ina marika. Sasa ni wakati wenu mpaka miaka mitatu mitano hivi ijayo nanyi mnaanza kuwashiwa indiketa na rika jipya. Ila hili ingizo lenu ni mwisho wa maneno. I salute you all aisee! Na kiongozi wenu ni huyu ShesRise_1 na viukorofi vyake feki! πππ
Ingizo jipya JF: Ni nani na nani wanatamba kwa sasa?
Eeeh apewe mtoto mkaree huyo..!Ah! Kadi ya bank? Hapo umevuka mpaka mremboπ
Sasa utampia wapi? Kafunga PMAh ela vocha tu? Huyu mrembo sio wa kumhonga vocha, mpe vogue sport na hata kiwanja Cha urithi nitauza nimpe Kila kituπ
Anajua wewe unakunjaIla coca analaumiwa sana humu..!! πΉ
Ntamchapa kumbe anakufichia white wako.. πΉπΉπΉ
Kadi ya bank?πΉπΉπΉ Huyo anatakiwa kupewa kadi ya bank tu sio kufokewa..!!
Au sio πΉKomaa nipo pembeni nakusaidia kazaaπ₯π₯
Mpaka utiiAu sio πΉ
Nakusubiri we dogo, hebu pita basiπTuma picha tu
Afu mkuu yako lini?Nakusubiri we dogo, hebu pita basiπ
Tusubiri picha za warembo humu watatuma, usitake kunipa kazi ya ku-google mkuu wanguπ πTuma picha tu
Mi nimeomba picha ya upole inavyofananaNakusubiri we dogo, hebu pita basiπ
Zimelundikana kibao huoni mijadala ya crash huko juuπ€£Afu mkuu yako lini?
Humu wengi ni kama wanawake kutoka makete njombe uko sasa hizo sura za upole zinatokea wapiTusubiri picha za warembo humu watatuma, usitake kunipa kazi ya ku-google mkuu wanguπ π
Ain't serious. Ni vibe la weekend tu bana. Sema majina yako ndo yanakata maini na kuleftisha fikra: Mara kaka, mara kijana, mara mkuu dah!We kijana acha kua serious bhana ππ
Anyway Asantee mkuuππ
Achana nazo za zaman weka mpyaZimelundikana kibao huoni mijadala ya crash huko juuπ€£
Unataka nikuite jee mkuuπAin't serious. Ni vibe la weekend tu bana. Sema majina yako ndo yanakata maini na kuleftisha fikra: Mara kaka, mara kijana, mara mkuu dah!
Ila tu ukorofi uache! ππππππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈ
Sawa utanipa hivyo hivyo darling haina shida..!! π»Yeah unastahili vogue, ila ndio hivo Sina uwezo wa kukupa. Labda matajiri utakao kuja kwakoπ . Ila ukija kwangu nitakupa tutakachojaaliwa na Mungu babaπ .