Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,994
- 13,311
Ndio namsubiri..chondechonde asituangusheKweli mwambie atupie uone balaa.!!
Utakata ticket ss hivi uje bongo bila kutarajia..!! 😹😹
Ndio namsubiri..chondechonde asituangusheKweli mwambie atupie uone balaa.!!
Utakata ticket ss hivi uje bongo bila kutarajia..!! 😹😹
Huyu my wetu hapo mbele ana kalia nini😂View attachment 3602317jua la utosini
Unyama sana 😻
Nimecheka kwa sautiWatu wa abroad pozi zenu 😍
Huyo dada hapo mbele mwambie atoke ntampasua na vitraco vyake..!!
Naona anakutega anataka kuniibia mchumba angu 😹😹😹
Umeingizwa mkenge umeingiaHebu tuthibitishie sasa mana tuna kiu ya kuona anavyovisifia Labella
Mimi nishawazoea jamanHuyu my wetu hapo mbele ana kalia nini😂
Ubahili tu mfyuuu..!! 😹😹😹Ahh wapi hujajua sichezagi na shilingi chooni, ndio maana naweza sema no usipo tegemea.
kuhusu body massage ume nikumbusha mbali, vili nishinda maana ni msala
Sema kuna ka ukweli, hizi rangi mta nimaliza wallahiHuyu ukimchekea ana kufukuzia ndege we haya😂😂
Please utendee haki huu uziUmeingizwa mkenge umeingia
Hamna full massage haiku nishinda kisa pei, shida kuchezewa na open k 😅Ubahili tu mfyuuu..!! 😹😹😹
TayaliPlease utendee haki huu uzi
😂😂😂Mimi nishawazoea jaman
We kweli bhana m-bless American boy uumbaji huo..!! 😹Yaan anajazaa
😂😂😂Ushawai ona Warld katuma kopa😃😃
Kuna filter kijana shauri yakoSema kuna ka ukweli, hizi rangi mta nimaliza wallahi
Shauri yako tatizo hamtaki watu waseme ya moyoni..!! Mpaka wajinyonge ndo muanze kusema ningejua ningemuelewa tu! 😹Hii chai haina sukari
Kitu gani Tena mamy unataka kukiona?😅Unyama sana 😻
Mkaka mzuri una rangi ya chungwa.
Simama basi kuna kitu nataka kuona mwenzio..!!
G mambo vipi? 😹Mh!!!!