ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 16,992
- 40,140
Sijui kwanini sikua mini 😀😀Mie najifurahia mno hivi nilivyo, na ba mjengo ananipa confidence dunia nzima hakuna 😂 ingekua siyo kuogopa hizi ajira za utumishi, hii sura yangu personal pia ningewamwagia hapa mnijadili 😹😹
Mdogo wangu aliwahi kuzaa, mtoto wake naye kafikisha miaka 19 kazalisha, sasa tumekua mabibi.
Wakifanya tena JF get together, tutatia timu na wajukuu zetu!
View attachment 3602292