Hebu ngoja kwanza nitafute makobazi na msuli wangu nisogee chini ya mti hapo unisimulie vizuri...





Khaaaaah!!Kwa kuniita tu dogo basi wewe ni ke mpaka hapo usibishe,bado picha tu
Dah! French yangu ya form II imenitoatoa kidogo....
Hata mimi nilifikiri ni ke alivyo na mikono mizuri
Pole sana mkuu pikipiki sio issue kabisaLeo nimekoswa koswa na Israel..ajali ya pikipiki sio POA..View attachment 1287805View attachment 1287806
sawa sawa mkwe wangu.
Nilikuwa kuleee nimerudi tena.
View attachment 1289830
Sent using Jamii Forums mobile app
Girls are so easy more than you think/know...
Hahahaha mie najua ni mwanaume ila nilidhani ana mikono kama ya mwanamke,, le francais est facile..
Sent using Jamii Forums mobile app
We si uliambiwa udrop hii discussion...
Karma acha kunizingua ujue.Nasema tena mimi ni **** View attachment 1290030 atakayebisha a aje kukalia cha kati au mnara wa Paris.
Halima Mdee Clone 😂😂😂Haha no mie sina kigugumizi,, ila basi tu sijui kwanini huwa naongea haraka halafu nina bass sasa.. double trouble kama siyo triple threat maana kuongea haraka tone mbaya mixer na bass mambo yanakuwa ni![]()
Huku ni kule karibu na Desderia ???