Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,847
Wewe unaota? 😂😂😂usiwe unanuna bby, usiwe unachuna wewe tabasamuuu
daaa nmejikuta nalikumbuka hili song kwa tabasamu lako
Wewe unaota? 😂😂😂usiwe unanuna bby, usiwe unachuna wewe tabasamuuu
daaa nmejikuta nalikumbuka hili song kwa tabasamu lako
Hahaha...kiusingizi kilikupitia eeh tena cha Mbeya..Hatarious
We ni mzembe [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani na hizi mvua mixer hili baridi acha kabisa,, natamani ningekuwa na uwezo wa kulala masaa mengi ila ndiyo najikuta siwezi.. nahisi nitaanza kuwehuka soon
Karibu tusikilize muziki,, now playing Naogopa by Rayvanny.. nasinzia
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah! Yaani a assume me ni safari au balimi [emoji849][emoji849]
hahah wala siotiWewe unaota? 😂😂😂
Jitahidi utaweza tu.... Afu huwezi amini hiyo nyimbo sijaielewa maybe sabb sikupay attention na nilisikiliza Mara moja sijairudia tenaaYaani na hizi mvua mixer hili baridi acha kabisa,, natamani ningekuwa na uwezo wa kulala masaa mengi ila ndiyo najikuta siwezi.. nahisi nitaanza kuwehuka soon
Karibu tusikilize muziki,, now playing Naogopa by Rayvanny.. nasinzia
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio dada
Asee..basi poahahah wala sioti
We dada 🙄🙄🙄 Mbona unatumia ngoma nzito mno?
Wale mnaojiuliza pombe tumejifunzia wapi..sasa hyo ni mezaa ya wazee wa hazard, mimi ni nanii hata nisifuate nyayo zao[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1290098
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unamkaribisha Depal tu. Huo ni matumizi mabaya ya rasilimali hayo.
[emoji2][emoji2] rasilimali zipi mzee baba?? Kama una uwezo wa kukaa na mimi 'bila kufanya chochote' hadi kunakucha basi nawe karibu tusikilize muziki!! (Dunia itabadili mzunguko wake)
Sent using Jamii Forums mobile app
Ooh! Hapana, me nilifupisha tuHahahaha, nilijua GOA India
MTC | 101| [emoji769]
Jitahidi utaweza tu.... Afu huwezi amini hiyo nyimbo sijaielewa maybe sabb sikupay attention na nilisikiliza Mara moja sijairudia tenaa
Sikuelewa mwanzoOoh! Hapana, me nilifupisha tu