Kabisaaa asitutanieUkirudia wewe na mimi nitarudia ๐น ๐น
Be free wewe sema..!! ๐นNataka kusema kitu ila naogopaq๐ซฃ
Si ndiyooooo ๐Kabisaaa asitutanie
Si ndiyooooo ๐
Mama starz mwenyewe ๐๐Karia umbea sasa
Mdogo akeeeerr๐ฅ๐ฅ๐ฅฐ๐ฅฐ๐ฅฐ๐๐๐๐๐
Wewe wa moto igweeeeeeeeee ๐ซกNimerudia Sasa haka ka gnz kanichambe
Au sioni siku hizi?
Mashallah, yaliyomo yamo mwanakwetu ๐ hatariii ๐๐ฅ
๐น๐น๐น TayariUkirudia wewe na mimi nitarudia ๐น ๐น
AsanteMama starz mwenyewe ๐๐
Dadeq Mungu anajua kuumba check mtoto alivyo mkaree ๐ป
Sura tramu lips za denda mamaahh ๐
Wewe leo huna bahati ๐น๐น๐นAu sioni siku hizi?
Sawa tumeona Gen Z ๐ฅ ๐ฅHaya mkuu, hiyo hapo๐
๐น๐น๐น๐น๐น Tuzoeee mwanakwetu..!!View attachment 3602209
Yani hadi kusema asante tunaogopa, mara unasifiwa, mara unachambwa kwa kukosa nuru, ili mradi fujo tu ๐๐
Haki leo nina ka mzozo, hebu rudia aiseeWewe leo huna bahati ๐น๐น๐น
Janja kaza kidogo, meno ka Umeweka filterHaya mkuu, hiyo hapo๐
๐น๐น๐น Wewe kisu alooo!Nimerudia Sasa haka ka gnz kanichambe
Hii sura naijua haki tena ๐น๐นHaya mkuu, hiyo hapo๐
Mmh hii michezo naijua mweeh! Siunakuaga mweupe mbona hapa mweusiHaya mkuu, hiyo hapo๐