πππ ila weka hivyo hivyoo mahii, mwana lunyasi mwenzangu.Mpaka nitumie nguvu nachoka mimi nijielezeee woi
Swadaktaaaaa!!Umeona eehh sisi marasta
NomaHuwezi kupinga namna hiyooo. πππ
Lini nimekudanganya??Wewee tenaa? Ukiwekaa mie chaapu.
Naijuaa hiyooo. πππ
Mbona wewooooo!! πππNoma
Nikusimulie braza ππPacha sijaona mwana
Mbona nashawishikaπππ ila weka hivyo hivyoo mahii, mwana lunyasi mwenzangu.
Bestie ntakuita tuonane mishangazi ya 40sI can't wait, uzee gani tena na sie bado vibinti!
View attachment 3602194
Mimi hiyo rangi ya mtume sina na natamba na chocolate skin yangu, jiamini mama π₯°π₯°Binti wa zamani mahi cocastic kakazana na rangi za mtume ananitoa kwenye mood π
Ngoja nkuachie uwanja .Ushawaka π
Huhuhuhu huhuhuhu si ndioooπ€ͺMimi hiyo rangi ya mtume sina na natamba na chocolate skin yangu, jiamini mama π₯°π₯°
Wekaa mwanakwetuu, unaogopa nini sasa Alooo.Mbona nashawishika
Unajua kuchombeza
Hahahaha!!!!! Tuliza mshono mpaka nilewe ndo ntaweka li picha la kishangazi kaona biaPita mama Starz basi nikuone jmosi yangu iwe burudaaa..!!
Uni simulie nini, akati Labella ni familia.Nikusimulie braza ππ
Wala sio ile issue ya wale wake wenza. Wale wana mabifu yao ya mboo sisi tulikuwa tunachangamsha kijiwe. Sema kuna kidudu mtu.Sina chuki na yoyote humu JF, nawapenda wote ila siku ile nilimind yule mjeda kumkashifu mzazi ambaye ndiyo amefariki hata kaburi halijakauka, kama mama sikupenda, ila yamepita hayo, tuachane nayo!
Ukikunja mtima humu mitandaoni utachizi mai!
Nasubiri kitu mie weekend yangu ichangamke!
Sema m cash out, nyie fanyeni TSR kuendelezaaa.Wala sio ile issue ya wale wake wenza. Wale wana mabifu yao ya mboo sisi tulikuwa tunachangamsha kijiwe. Sema kuna kidudu mtu.
Unajua vizuri sema km umeamua kuzuga fresh..!!
Unamjua aliyekujaza chuki za kishamba ukaanza kudemka..!!
Nilichukulia ule ukaribu wetu wa TSR nikapotezea..!!
Unapenda kujiita mshangazi dada ukute hata sio au hata kama age go una ki babe face πBestie ntakuita tuonane mishangazi ya 40s
Eeeh ndiyoo kujiaminii muhimuu. πππMimi hiyo rangi ya mtume sina na natamba na chocolate skin yangu, jiamini mama π₯°π₯°
Ila wewe ni mnaaaa π π πEeeh ndiyoo kujiaminii muhimuu. πππ
SubiriiiiiWekaa mwanakwetuu, unaogopa nini sasa Alooo.