Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,277
- 95,555
Asante...Una ki dimples Fulani hivi amazing
MTC | 101| [emoji769]
Hahahaha, mtoto kasababisha niagize bia nyingine
MTC | 101| [emoji769]
Hakuna chochote ulichonikwaza Dadangu kwanza nilienjoy nikapata break kazi zilikuwa zinanistress.Sikuwa siriasi na nilivyosema uapolojaizi.
Ewaaaa,umejuaje ,mtoto ana rangi ya chocolateUngeagiza mbili kwa mpigo kabisa, moja unaassume ndio bibie Depal kabisa.
Hahahaha, na kweli Mkuu, si wanasema usione vya elea .....Mimi imenibidi niuambie moyo utulie maana mjini kuna vya watu
Peace and love to you too dear sister.BLESS.[emoji120][emoji120] shukrani kaka nafurahi kusikia hivyo,, peace and love.. [emoji1666][emoji1666]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiwoooo
Yuko hapa
Haya...zamu yako
Viliundwa na sir God 💃💃Hahahaha, na kweli Mkuu, si wanasema usione vya elea .....
MTC | 101| [emoji769]
Nakutumia ,umenishawishi vzr mno,nakutumia
MTC | 101| [emoji769]
Viliundwa na sir God 💃💃
Hahahaha
Hahaha...kiusingizi kilikupitia eeh tena cha Mbeya..HatariousKhaa yaani hiyo picha imenipita niko hapa hapa jamani,, kweli usingizi mwanaharamu.. bad manners you girl
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamelala, wakiamka watakuta manyoya [emoji28]