Wgr30
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 1,770
- 2,387
Nimekosa huo muda mkuu njoo unisugue basiMhu kasugue mguu
Namna hii kwa kweli uzi utanoga sana
Nawasalimia misukule wote wa bwana Mshana jamaa anatugeuza anavyojisikia tu,
miminimama nimekuona aisee bonge la zigo
Saint anne imebidi nikusave bado natafuta gukitambi gulipo
Hawachi umejikausha picha yako inatakiwa
Sakayo naona muguu upo, jana kasura kalinibariki sana
Ntarudi





Hahahaha nayo ni raha tu ! Furahia maisha ni mafupi. Cheka kidogo halafu ongeza kapicha kengine.Nimekosa huo muda mkuu njoo unisugue basi
😂😂😂😂 karibu mgeni
Nani amekupa?
Hizi za Leo ndio zangu..hata ukitaka full nakupa
Time isn't yetNo body to ring it!