FENtastic
JF-Expert Member
- Aug 4, 2015
- 6,780
- 10,553
Muitaliano huyu si zile za kimasai aisee zinanuka ng'ombe kabisahicho kikichemshwa kinatoa supu nzuri kwa mbwa



Muitaliano huyu si zile za kimasai aisee zinanuka ng'ombe kabisahicho kikichemshwa kinatoa supu nzuri kwa mbwa



hiyo inatakiwa uwe unaimwagia chumviMuitaliano huyu si zile za kimasai aisee zinanuka ng'ombe kabisa![]()
Wananitia moyo haoAisee pole kwa kutua mzigo mana sio kwa kujiandaa kule japo sijaona yaonyesha kitambi huna mana usinge azimwa kiuno ha ha haaa
Kweli wewe kipepehiyo inatakiwa uwe unaimwagia chumvi

Hizi ndio zinanogesha mada sasaile saa mmelala nasimama dedeeesaa mmeshakufa nasukuma chepeee
brazamen comrade kipepeView attachment 1219602
hahahha kwaniniHizi ndio zinanogesha mada sasa
Inaonekana una lips laini. Lol
Nawasalimia misukule wote wa bwana Mshana jamaa anatugeuza anavyojisikia tu,
miminimama nimekuona aisee bonge la zigo
Saint anne imebidi nikusave bado natafuta gukitambi gulipo
Hawachi umejikausha picha yako inatakiwa
Sakayo naona muguu upo, jana kasura kalinibariki sana
Ntarudi





tupia basi japo lips
na macho na macho
bila kusahau kishoes! 
Ndio unashtuka sahivi 😂😂😂
Kabisaaza makhabati
tupia basi japo lips
na macho na macho
bila kusahau kishoes!
![]()
Kumbe nakufahamu
Nunua iphone 11 imekuja na app matata ya ku undo chochote unachotaka