Selfika na JF: Snap it. Show it

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nikivunjikaa, MOI utalipia wee gharamaa? Au shemejii Gwapole?
Woiiiih
😹😹😹 Simu moja ya G unapelekwa India moja kwa moja hata MOI huingii..!!
 
Na zinavyotisha sasa 😹😹
Hivi hawajiangalii mara mbili kabla ya kutuma?

Kitumbua cheusi fii hafu kimeungua 😹
Watatupofua macho kuna siku tuamke vipofu..!!
Duuuh kazi kweli kweli πŸ€”
 
Uduguu unataka kunyetukaaa? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
😹😹😹 Hamna sema kale kapicha kake kalikuwa fire sana siku ile..!!

Hivi mwanamke unaweza kunyetuka na pic ya mwanaume tu! Mi mbona siwezi 😹😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…