Matajiri tunawajua hampendi sifa πΉπΉSijawahi kuwa na picha maana kila anayejaribu kunipiga picha, camera yake huungua. Tatizo la kuwa na sura mbaya hilo. Hivyo sina picha yoyote na naogopa kujipiga picha isije hii simu niliyopewa kama zawadi ikaungua. Nina uhakika ikiungua, sitaweza kuingia tena JF maana ni ngumu sana kupata mfadhili. Uwezo wangu Binafsi wa kumiliki smartphone haupo, na baada ya mafuta kupanda kila mtu ni bahili wa pesa yake. Nasema uongo wajameni - kwa sauti ya Kenyatta
πΉπΉπΉ Acha ushambenga wog..!!Mapenzi mubashara......π₯°π
Piga pic vizuri basi..View attachment 3598670tuselfike wajameni
Hahahaha,dahWe mzee acha kuukataa ushemeji hapa..!! πΉπΉπΉ
Sis Joannah bebe wako hataki kuitwa shem..!! πΉ
Nimekukamata muone πΉπΉπΉHahahaha,dah
Hahahaha,sawaNimekukamata muone πΉπΉπΉ
Shida niniNini hii mzee?π«’
Huyo kishundu master ni nani?Shida nini
ππππππΉπΉπΉ Acha ushambenga wog..!!
Tayana π«‘πππππ
Eerh, Kikao Cha dharuraTayana π«‘
Hebu njoo pm chap aiseeee!!
Wewe sio wa ki sport sport alooo..!!
Shem huyu binti yupo mambele aiseee..!!Eerh, Kikao Cha dharura
Hahahaha,sawa sawaShem huyu binti yupo mambele aiseee..!!
Sasa nataka kumpongeza kwa kupata visa la USA πΉ
Vzr kupongezanaShem huyu binti yupo mambele aiseee..!!
Sasa nataka kumpongeza kwa kupata visa la USA πΉ
Binti kapambana mpk kupata visa anastahili pongezi..!!Vzr kupongezana
πππ ila Shemejiii khaaah.Sijawahi kuwa na picha maana kila anayejaribu kunipiga picha, camera yake huungua. Tatizo la kuwa na sura mbaya hilo. Hivyo sina picha yoyote na naogopa kujipiga picha isije hii simu niliyopewa kama zawadi ikaungua. Nina uhakika ikiungua, sitaweza kuingia tena JF maana ni ngumu sana kupata mfadhili. Uwezo wangu Binafsi wa kumiliki smartphone haupo, na baada ya mafuta kupanda kila mtu ni bahili wa pesa yake. Nasema uongo wajameni - kwa sauti ya Kenyatta