win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 8,839
- 29,990
sijawahi kujiunga na vikoba broMichezo hiyo hauna kikoba unahitaji kulipiwa
sijawahi kujiunga na vikoba broMichezo hiyo hauna kikoba unahitaji kulipiwa
umekunywa ngapiNakaribia maana sikua mbali nilikua kwa Mangi
utaniita😊Uweeh! Subiri mida ya wanga watoto wakalale kwanza😅
Fungu la kukosa!😆Michezo hiyo hauna kikoba unahitaji kulipiwa
Tatu tu ,na usinngizi Sinaumekunywa ngapi
Achana na mimi mwenye bahati habahatishiFungu la kukosa!😆
we si umesema ushaanza kupata usingizi, mbona unajigeukaTatu tu ,na usinngizi Sina
Hahahaha hutaki kulipiwa kikoba?Fungu la kukosa!😆
Hahahaha, usingizi Toka kwako upo ndio narudi kuona km nitalala?we si umesema ushaanza kupata usingizi, mbona unajigeuka
Hahahaha hivyo hutaki kulipiwasijawahi kujiunga na vikoba bro
ahaa bado sijakuelewa au ni lugha ya kileviHahahaha, usingizi Toka kwako upo ndio narudi kuona km nitalala?
sasa nilipiwe na sina deni?Hahahaha hivyo hutaki kulipiwa
Means kuanzia Leo nitaanza kupata usingizi, baada ya kuwa na weweahaa bado sijakuelewa au ni lugha ya kilevi
Naanzaje kukataa offer sasa!Hahahaha hutaki kulipiwa kikoba?
hapo sawa nimekuelewa,, ni nzuri mno hiiMeans kuanzia Leo nitaanza kupata usingizi, baada ya kuwa na wewe
HahahahaNaanzaje kukataa offer sasa!
Kesho nlikuwa nataka nikufanyie surprise ya kipekeeMi na we hatujawahi shindwana poker wangu
Hahahaha, ila Sasa ukiwa mbali si nitakosa Tena usingizihapo sawa nimekuelewa,, ni nzuri mno hii
hiyo no mbili,, Seran naomba uzungumze vizuri na ba tam wako usiku wa leo ili kesho mambo yawe mazuri plzzz😋😇Kesho nlikuwa nataka nikufanyie surprise ya kipekee
1- hela ya kusuka 50k
2- hela ya kisinia na win 150k
3- hela ya kukuchatisha maana vidole vyako ni vya thamani 50k
4- na hela bundle 50k
sitoruhusu tuwe mbali,, ni mwendo wa kugandana kama lubaHahahaha, ila Sasa ukiwa mbali si nitakosa Tena usingizi