Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,277
- 95,562
Wapi huko nije,vibomu vitazuiwa na Iron domeNjoo huku nikupige vibom vya vicoba ukae mkao!
Wapi huko nije,vibomu vitazuiwa na Iron domeNjoo huku nikupige vibom vya vicoba ukae mkao!
sawaaaBasi ushajua
Waaahh!!😱Ya kweli hayo
ndo upoje hebu dadavuaHahahaha,ule urafiki mkubwa ili niwe nalala mapema, niache kuzurura usiku
Hahahaha, Karibusawaaa
Mtoto kiuno ka nyigu, vijana washindwe tu wenyewe🤣acha kuzua taharuki😅😅😅 flat Tommy iko wapi hapo
huyu ndo wew? nimependa rangi ya suti yakoYa kweli hayo
Hahahaha 🤣 we MTU mzima ujuendo upoje hebu dadavua
HahahahaMtoto kiuno ka nyigu, vijana washindwe tu wenyewe🤣
unajua kuchochea moto,, watu tumedanload picha za watu tumetupia humu😅😅Mtoto kiuno ka nyigu, vijana washindwe tu tu wenyewe🤣
Wewe yule mubaba wako mfupi mweusi ana kitambi anakuchanganya eehhuyu ndo wew? nimependa rangi ya suti yako
ni kweli ila siwezi kujua akili yako inawaza niniHahahaha 🤣 we MTU mzima ujue
Hahahahaunajua kuchochea moto,, watu tumedanload picha za watu tumetupia humu😅😅
Uzuri nakufahamu, wadanganye hawa wageni😂unajua kuchochea moto,, watu tumedanload picha za watu tumetupia humu😅😅
ndo nani? sijawahi kudate mbilikimo mimiWewe yule mubaba wako mfupi mweusi ana kitambi anakuchanganya eeh
Naomba niwe Karibu yako zaidi,ili unielewe km navyokuelewani kweli ila siwezi kujua akili yako inawaza nini
basi inatosha maa🤣🤣,, ouky tupia na wew nione jicho mlegeo na sura yako ya upole👌🤗Uzuri nakufahamu, wadanganye hawa wageni😂
ombi lako limepokelewa 😜Naomba niwe Karibu yako zaidi,ili unielewe km navyokuelewa