win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 10,320
- 35,077
hawapo bana mbon mi nimepitašŖTuko wengi mno muda huu nitazua taharuki kwa hili tumboš¤
hawapo bana mbon mi nimepitašŖTuko wengi mno muda huu nitazua taharuki kwa hili tumboš¤
Niache mjukuuš¤£oldieeeee hebu kwendraaaa
Humuoni huyo kijana anaibukaga kama ana notification za selfikaš«¢hawapo bana mbon mi nimepitašŖ
Young auntie ni 29-35 usijizeeshe bwana.POC.. actually, am the oldie auntie here!āŗļø
Endeleeni tu, chukulieni kama sipo.kwenye moya na limbi,,, umetokea wapi mshambaš¤£
tuchukulie kama haupo wakati upo?Endeleeni tu, chukulieni kama sipo.
kasema tumchukulie kama hayupoš¤£Humuoni huyo kijana anaibukaga kama ana notification za selfikaš«¢
uko ovesi š¤£Niache mjukuuš¤£
Am 36 btw!Young auntie ni 29-35 usijizeeshe bwana.
Yeye kupita aannhhhkasema tumchukulie kama hayupoš¤£
Ninatisha mtaota usiku, mtapata kiwewe.Yeye kupita aannhhh
kapo kama kachawiš¤£š¤£š¤£Yeye kupita aannhhh
kwendraaaa bwana hakuna binadam wa hivyo hapa chini ya juaNinatisha mtaota usiku, mtapata kiwewe.
Ndio mambo tunayoyataka hayo fanya upite kijana!Ninatisha mtaota usiku, mtapata kiwewe.
Si ndiooš¤kapo kama kachawiš¤£š¤£š¤£
Upewe nini gen zeešNaomba unipe.....
View attachment 3595338
Huyu si alisex na mgeni ndio akawa mzee!
Kidogo kile unachokijuaUpewe nini gen zeeš