ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 16,938
- 40,043
Heb selfika dearLipieni kwanza😎
Heb selfika dearLipieni kwanza😎
Imagine mimi ndio natakiwa kusolve ya ukoo wanguMimi matatizo ya pesa alisha ya solve babu 😁
Nakupenda sana min😊Wewe haunipendi najua
Tusamehe 🤣 hatukupenda kua hiviMidomo tu kumbe mna hela chache sana ,tafuteni pesa kama hamna uwezo wa kuzitega *****
View attachment 3593570
Naumwa dear😩Heb selfika dear
Furaha yangu nikuona mapenzi ya watu 🏃♀️🏃♀️🏃♀️Nakupenda sana min😊
Kmmk Tutakoma🤭Midomo tu kumbe mna hela chache sana ,tafuteni pesa kama hamna uwezo wa kuzitega *****
View attachment 3593570
Pole😢Naumwa dear😩
Khee sisi ni ndugu doutaFuraha yangu nikuona mapenzi ya watu 🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Ndugu wa Nyokoooo 🤪Khee sisi ni ndugu douta
Mungu hapendii🤭Ndugu wa Nyokoooo 🤪
❤️❤️❤️🔥🔥🔥 usifute sasa 🥰
Ili leo wachawi wawe na kikao cha dharura sio🌚❤️❤️❤️🔥🔥🔥 usifute sasa 🥰
Mungu hapendi huo udugu wa kuchovya 😀Mungu hapendii🤭
Hii ni vayolensiii 🤣🤣Ili leo wachawi wawe na kikao cha dharura sio🌚
Duh mnajitahidi mimi mama yangu namuona anakomaa mwenyewe anajenga ameona hapa sina mtoto😂Ku
Hautoboi mwanangu, jiangalie wewe, binafsi mama yangu baada ya kustaafu alifumua nyumba ya baba na kuanza kujenga ghorofa japo hajamaliza ila mama sio fala ,tunamchangia mwaka huu natumai atamaliza🤔
Jamani sasa si ndio tunaaunda utakomaa baadae!Mungu hapendi huo udugu wa kuchovya 😀
Au sio mwanetu hakuna noma😎Jamani sasa si ndio tunaaunda utakomaa baadae!
Dah, nimechelewa jamani.mshamba_hachekwi njoo nyonya🤣🤣