ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 19,552
- 71,385
Hizo pesa zipo wapi?Mbona hausemi nakuaje na pesa nyingi ka ephen?
Ningeona saa ya gold og ningesema hapa kweli pesa zipo
Hizo pesa zipo wapi?Mbona hausemi nakuaje na pesa nyingi ka ephen?
😊😊Aliyekufundisha ukorofi haendi mbinguniMkaka unakuaje mweupe?
Kanizidi rangi kitu ambacho sijakipenda😊😊Aliyekufundisha ukorofi haendi mbinguni
Pesa haipigi kelele kwanini sasa wewe una kelele?Na kweli najitafuta
Selfika bwana.
NaombaHahahaha basi nilizo nazo sio pesa ila ni dollars 😅
Hebu acha kumtaja taja huko atajing'ata bureee😏😏
Si ndo mnabalance equation sasa shikilia hapohapoo!😄Kanizidi rangi kitu ambacho sijakipenda
Pole😊😊😊
Sema napendaga sana muwe mnataniana hivohivooo mkinuniana naumiagajeeee
Anza wewe!
Santrooo sana! Ntapatamo ka selfii nisafishepo macho mtoto mzuri???!Pole
wekeni picha japo mtu bless macho yetuchai ya rangi kijana hebu njoo huku 🤣🤣