ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 19,524
- 71,251
Pole sana mwanang😊Dah, nimechelewa jamani.
Umelewa bwasheeKina nan bwashee?
Kidumu chama Cha ma jobless pro maxMidomo tu kumbe mna hela chache sana ,tafuteni pesa kama hamna uwezo wa kuzitega *****
View attachment 3593570
kila ukipost nakuta imenipita daah, ok nitazidi kumendea hapa mara kwa maramshamba_hachekwi njoo nyonya🤣🤣
Pole sana uwe unaweka mtu akushtue lolkila ukipost nakuta imenipita daah, ok nitazidi kumendea hapa mara kwa mara
Millennial gani unavaa jinzi ina rangi mbili? Cheki hizo attire umepewa hapo chini mpaka mitaani, hizo code zako ni za jenziii tu😁
Millenial tunaji mix siku hizi Ki Gen Z make Gen z wanatuchulia poa sana wanatudharau kila AngleMillennial gani unavaa jinzi ina rangi mbili? Cheki hizo attire umepewa hapo chini mpaka mitaani, hizo code zako ni za jenziii tu😁
Achana nao hakuna jipya😅Millenial tunaji mix siku hizi Ki Gen Z make Gen z wanatuchulia poa sana wanatudharau kila Angle
Yaani ukaona ukiniita nitanenepq au 😆😆Pole sana uwe unaweka mtu akushtue lol
Kwanini lakini? Unatufatilia kilimgeni?🫢Apia...!🤣
Ulikuwa unajiandaa na ibada ya leo sikutaka kukutoa uweponi😁Yaani ukaona ukiniita nitanenepq au 😆😆
Kweli kabisa maana nilipo kuna ugeni wa kitaifaUlikuwa unajiandaa na ibada ya leo sikutaka kukutoa uweponi😁