Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,441
Koko mwenyewe, tinde, nata, nzega huko nyeupe ni nyingi.Tabora hadi Kahama, yess ni machotaraa sanaaa, si kuna waarabu kulee.
Tena Kahama utasema waarabu walizamia palee, vichotara koko vingiii mnooo.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Lamata village 😹😹😹Bibi yako hapanaaa, [emoji23][emoji23][emoji23]
Amevukaa level za Shigongo, lol
Huwajui chunusi?, sio conspiracy walikuwepoStory za abunuasi hizoo, khaaah.
Chunusi hiyo kwiooo? Bibi ako nae heka heka nyingii eeeh??
Nimeona ulikuwa m cute kitambo, naona hapo ndio rasi zilianza
Chotara koko, aka, Ponjoro [emoji23][emoji23][emoji23]Koko mwenyewe, tinde, nata, nzega huko nyeupe ni nyingi.
Napenda wakivaa abaya au baibui aisee ni [emoji91]
Bibi yako nimempendaa bureee wallah, [emoji23][emoji23][emoji23]Lamata village [emoji81][emoji81][emoji81]
Afu mbishi ukimwambia huo uongo..!!
Kuna siku niliweka clip naimba usiku WhatsApp nikakuta wa kwanza kuview ananichamba eti “Unamtega nani saa hizi? Utapewa mimba utelekezwe” [emoji81][emoji81][emoji81]
Mpaka nikafuta jamani..!!
UongoooHuwajui chunusi?, sio conspiracy walikuwepo
Thank you ☺️Night mchuchu, uwe na njonzi njema 😊
anytime mchuchuThank you ☺️
The bullies will suffer at school, she got a nice energy keep that in check.
Nimechelewa kuona🥲🥲Vipi yeye sio kama Ngosha?😂😂Ambition sina la kusema 🙆♀️😍😍😍
Hii kutoka moyoni sijawahi kukutana na Gentleman JF km wewe 🥰🥰🥰
Yani wewe vitu vyangu kabisaaa dah! 😍😍😍
Wewe kaka nimekunyooshea mikono.
Nyie hivi mnaona ninachokiona??
Sis Joannah nimekamatika huku 😥
She can kick some ass, that’s for sure 😀.The bullies will suffer at school, she got a nice energy keep that in check.
Just like the nigga in Jumanji, she's tough as a rock, hahaha.She can kick some ass, that’s for sure 😀.
nilishafuta usiku boss 🙏Boss ukija futa hii comment yako..!!
Kanacheza Kung-Fu, [emoji23][emoji23][emoji23]
Boss kwemaa??nilishafuta usiku boss [emoji120]
Siti ya mbele kabisa nikingojewa kubarikiwa na picha yako🤗mchana wa jua kali watu wametulia nipite zangu kimya kimya