Selfika na JF: Snap it. Show it

Na kweli nimegundua hilo,, sie wengine kuandika ni fani yetu na hatuoni taabu kuandika hata vitu ambavyo hatujaulizwa..
Wanyakyusa ni waongeaji sana na wakarimu. Its fun being with them, sijawahi ona mnyakyusa kapooza pooza kama msukuma.[emoji85][emoji85][emoji85]

Watu8 akija mwambie nimekwenda kutafuta pension maana yeye kashindwa kazi.
[emoji571][emoji571][emoji571][emoji571][emoji571][emoji571][emoji571]
 
Ndio nn hayo marovu?

MTC | 101| [emoji769]
Kimiminika fulani huwa kinabe-Extracted kutoka kwenye mti wa mchikichi/Mgazi..
Hiko Kimiminika ndio hutumika kama Alcohol kwenye pombe ya kiha (pombe ya ndizi) Wanatia kidogo..Yanalewesha hatari.

Sijui hasa process ya kutoa hicho inaitwaje Scientifically..Pia sikumbuki vizuri inavyotolewa maana nineshudia nikiwa kama na 7yrs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…