Selfika na JF: Snap it. Show it

Chica Gee si umeona lakini? Usicheke.
Huyu Amby hilo body jamani ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

Halafu alivyo na makusudi kaliacha wazi ili yatima wa mapenzi tupandishe sukari vizuri..!! ๐Ÿ˜ฅ๐Ÿ˜น
 
Mie K.koo huwa siendi sasa, alafu utavaaje maronya ronya ya kkuuu mtoto mzuri kama wewe banaaa, angalia hapo Torino kimoja nitumie unachotaka [emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23] BOSS umechafukwaaa? Naogopaaaa!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23] BOSS umechafukwaaa? Naogopaaaa!!
Boss kaselfika hapa pedezee kabisa pesa kwake sio ya wasiwasi aisee..!! Ana uchebe huo sio pouwa..!!

Nasubiri slipper mwenzio ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
[emoji23][emoji23][emoji23] nachekaa km mwehuu, sijui nacheka nini atiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ