Do you know how much is presidential suit rooms hapo Melia Zanzibar???hatuongelei million tano sita hapa, Go google yourself. Na mtu ana-book week nzima.France na poland, frond office manager ni italy. Na mmoja Mrusi
Room ya bei nafuu ni 900 usd per night alafu ni Half board genius package
Siku hizi mimi nanyoa tu kwanza,kuna kazi naifanya japo hawakatazi ila naona niache kwanza , mkataba ukiisha narudi fasta😄😄 nataka zifike kiunoni kabisa😀
Muda huo zangu zitakuwa zinaendelea kuchanja mbuga 😄😅Siku hizi mimi nanyoa tu kwanza,kuna kazi naifanya japo hawakatazi ila naona niache kwanza , mkataba ukiisha narudi fasta
Sema nina asili ya nywele nyingi , usishangae nikakupita😁😁Muda huo zangu zitakuwa zinaendelea kuchanja mbuga 😄😅
Hata nilijua basi, nilikuwa naimbia pimbi mmoja alale 😅😅😅😅😄 nikapotea shwaaa
Una asili ya nywele nyingi😀 hata mimi ndiyo hivyo hivyoSema nina asili ya nywele nyingi , usishangae nikakupita😁😁
😀😅 halali mpaka aimbiwe 😀?Hata nilijua basi, nilikuwa naimbia pimbi mmoja alale 😅
Wiki tu nisipo nyoa ndevu watoto wanaanza niuliza babu mdomo upo wapiasili ya nywele nyingi😀 hata mimi ndiyo hivyo hivyo
Ubabe tu, kuna nyimbo ya cartoon ina itwa Frozen.😀😅 halali mpaka aimbiwe 😀?
Uduguu hawezi amini, anataka hadi nioneshe uthibitisho.[emoji28][emoji28] Ulitaka aweke ubao wa matangazo pale Morocco
Ko sasa itakuajee??[emoji119][emoji119] [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Fafanua kwani.Do you know how much is presidential suit rooms hapo Melia Zanzibar???hatuongelei million tano sita hapa, Go google yourself. Na mtu ana-book week nzima.
Tutafute pesa
Cheusii, [emoji23][emoji23][emoji23]
Mmmh😅Wiki tu nisipo nyoa ndevu watoto wananza niuliza babu mdomo upo wapi
Kama nakuona vile 😄😅ana umri gani?Ubabe tu, kuna nyimbo ya cartoon ina itwa Frozen.
😅😅 kagomaUduguu hawezi amini, anataka hadi nioneshe uthibitisho.