Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 29,404
- 39,327
Amennafurahi kusikia hivyo,, uwe na usiku mwema binti sayuni😘
Na we pia
Mapema leo au sio ?
Amennafurahi kusikia hivyo,, uwe na usiku mwema binti sayuni😘
ndio nahisi homa mwili umekua wa moto, sa natamani kupumzika mapemaAmen
Na we pia
Mapema leo au sio ?
Ok dearndio nahisi homa mwili umekua wa moto, sa natamani kupumzika mapema
Unataka kumfanyajee?Kudandia treni kwa mbele
Yani muda wote linaniwaza sijui linataka nilisage?
Njoo ujichukulie vijora tumeshusha mzigo mupyaaa wa namba E![]()



Utasubiri sana
Yeye mwenyewe sasa hivi ukute anapiga saidia fundi baadae aje kutuchekesha hapa..!!


nishapataa muamalaa.ReloadingSubiri kwanza mida ya mapopo
😊Nipo hapaReloading
Nipe dk 17, na settle issue chap.😊Nipo hapa
SawaNipe dk 17, na settle issue chap.
Nakojoaaaaa kutoka kkoo mpk Mwenge 😹😹😹nishapataa muamalaa.
Nimkoboe 😹😹😹Unataka kumfanyajee?
Nakuja uduguu kuchukua kijora changu.
Sorry for being late, bado uko?Sawa
Anza ww🤣😎Selfikeni basi
Upo😂haya pita chap alf nikupe location👌
nipo fanya chapUpo😂
Kaone 😂🙌🏾nipo fanya chap
wapi sasaKaone 😂🙌🏾
Hiyoo chini
Ndio najiandaa, MtumishiAnza ww🤣😎