Selfika na JF: Snap it. Show it

Usimuogopeshe mtoto mzuri, Tanzania ya mama Samia ipo salama sanaa. Usimtishe mwenzako acha ajipatie hela ya weekend
Au sio?
Kuna mwanamke kaokotwa jana salender bridge oohh..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Na national naye kafa? ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Nimesema mtahusisha ID ma kumbe watu wamekufa, ilishatokea humu jf, wamekomaa na mtu kumbe ashajifia zake kitambo, kuna watu wanahisi wanajua kila mtu jf ndio mazara huanzia hapo ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Au sio?
Kuna mwanamke kaokotwa jana salender bridge oohh..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Binadamu watu wabaya sana. Ila mie siwezi mtenda hivi mtoto mmbichi kama huyu.. Tanzania ya mama na usalama ni pacha
 
[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81] Sio kweli we tupia..!!
Sasa hizo pic OG au zinazodownloadiwa mbona hawazileti?

Maneno ya wakosaji hayo..!!

Tupia foro wewe [emoji81]
[emoji23][emoji23][emoji23] picha za ku download tenaaa? Mbona mabwakuuu.
 
[emoji16][emoji16] sasa nigome kwanini bado upo mbali na ukweli, P O ungekuwa una mfahamu kidogo ungepata mwangaza.. ila hizo zote mna husisha ni chenga tupu
Tuachane nae huyo Lekcharaa, tuma dollar zenyewee. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Usimuogopeshe mtoto mzuri, Tanzania ya mama Samia ipo salama sanaa. Usimtishe mwenzako acha ajipatie hela ya weekend
Hapo sasa, mie nasubiri muamala hukui atiiii, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mie ntaokotwa Mto Ruvuma, utakuja msibani uduguu.
Huna baya, kwenye hii dunia ukiishi fair hakuna wabaya wakutafute. Muhimu kuishi kwa amani na kutokuwa na visasi na watu
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mie ntaokotwa Mto Ruvuma, utakuja msibani uduguu.
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Bora wakutupe karibu na home tupate wepesi wa kukupata. Ila katavi hurudi..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ