nyie achane fananisha watu, hampo karibu hata kidogo katika kunihisi wala kunifahamuMzabzab ana ujinga km huu ujue πΉπΉ
Huyu mwenyeji kaamua kuja na id mpya afanye illegal fishing..!!
Afu nyavu zake zina matobo madogo anataka kuvua hadi dagaa..!! πΉπΉ
Njoo PM basi, tuma account suboro message[emoji23][emoji23][emoji23] sasa utajuaje km ndo mie? Ukute nishapita huko tayarii? Na ulishanisarandia manuvaa.
πΉπΉπΉ Dah!Junior huyo bado hata hatumuwazii kumfanya awe Proffesional Engineer, na anavyo nikazia huku, kwenye panel nitamkataaa kama maji πππ
πΉπΉπΉ Katumwa huyu sio bure.Hapoo sasa, sijui kaagizwa na nani, [emoji23][emoji23][emoji23]
Mie hadi sahivi ninahisi watu 2, hawa ndio nahisi kabisaa.[emoji81][emoji81][emoji81] Dah!
We mjinga umetuweza wambea leo, nikilijua parody la nani hili nitakuchamba ujue..!!
cocastic anajua km umesomea Engineer kazi unayo..!! [emoji81]
Huyu kama kaka sungura vile? πΉπΉYaaniii, JF ni kukaa nayo kimastaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23]
Mpopo huyo anataka kutupiga waabeshi..! πΉπΉ
hamtaki ma dollar[emoji23][emoji23][emoji23] sijui nachekaa ninii atiii, woiiiih
Kumbe katokea jukwaa la siasa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji81][emoji81][emoji81] Katumwa huyu sio bure.
Nilikua namuona toka jana na reactions zake kule jukwaa la siasa. Nikajua ipo jambo..!!
πΉπΉπΉ Na halishindwi si mkopo mwenzetu..!!Ukute ni kantry, [emoji23][emoji23][emoji23]
Maana shengesha anaziweza kweliii,
Inakujaa km vilee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu kama kaka sungura vile? [emoji81][emoji81]
Si utume basi nawee. [emoji23][emoji23][emoji23]hamtaki ma dollar
Tayari kulee. Haya katume sasa.Njoo PM basi, tuma account suboro message
Wewe ni MWEUSI acha kutufanya wajinga hapa πΉπΉπΉHuwezi kunidakaa namna hiii.
Tuma account mrembo.. kunijua ni ngumu, ila jua nipo kwenye body ERB sasa upangiwe niwe .... huipati ng'o PEng ππ
πΉπΉπΉ Yani wambea vichwa vinauma..!![emoji23][emoji23][emoji23] sijui nachekaa ninii atiii, woiiiih
Ni yeye huyu kantrii [emoji23][emoji23][emoji23]Wewe ni MWEUSI acha kutufanya wajinga hapa [emoji81][emoji81][emoji81]
Uzuriii atajisahau na tuta mdaka. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji81][emoji81][emoji81] Yani wambea vichwa vinauma..!!
Ila tutamjua tu!
Wewe ni PSL shenzy πΉπΉπΉnyie achane fananisha watu, hampo karibu hata kidogo katika kunihisi wala kunifahamu
πππMie hadi sahivi ninahisi watu 2, hawa ndio nahisi kabisaa.
[emoji23][emoji23][emoji23] na amejua kutuweza, si aseme I'd take ya zamani jamaniii.
Hamuwezi , mpo mbali sana na ukweli. Issue mie nimekuelwa ukorofi wako sio issue nije nitoke ma gold au kitaru kabisa cha gold utulie ndanWewe ni PSL shenzy πΉπΉπΉ