Selfika na JF: Snap it. Show it

Nimefurahii kukuona, tena nimekuona liveeee Nakeed. [emoji8][emoji8]
Kumbee wee na Udugu wangu nyie ni Halfcast, [emoji91][emoji91][emoji91]
Sisi wamanga toleo la mwisho 😹😹😹
 
[emoji23][emoji23][emoji23] uduguu taratibuu, usinifukuziee watejaa.
Em hukoo tuliaa, acha uduguu wako nifaidi ushost nawee.

Au hutakii nineemeke kupitia wewee? [emoji23][emoji23][emoji23]
😹😹😹 Unajua kuwanyoosha..!!

Ahhh nimeeka udugu ufanyaje sasa km hawasikii?? 😹
 
[emoji81][emoji81][emoji81] Unajua kuwanyoosha..!!

Ahhh nimeeka udugu ufanyaje sasa km hawasikii?? [emoji81]
Na hawasikii haswaaa!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Mie ni kuwapiga cha juu tyuuh, Winga niko Lele lelee,
 
Yaan kaweka Naked. Unajua Naked? Basi ndo kaweka yeyee, na bahati nzuri nimeifuma pekee angu hapaa.
Aloooh huyu ni Halfcast km wee uduguuu. Lol
Weeehh πŸ”₯πŸ”₯
Jamani irudiwe mi nnavyopenda kuona vitu vizuri 😻😻
 
[emoji81][emoji81][emoji81] Mzaramo wa msanga huyo..!!
Honey bunny hataki unyonge [emoji81][emoji81]
Msangazalala?? [emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona Pigo za Bukoba kabisaa, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wee nitulie vipi udugu, shem yuko Wangu Wangu hivyo, anawahi wapiii??
[emoji23][emoji23][emoji23]
😹😹😹 Anawahi kutupa soft life udugu!!
Aliwahi kusema kaniona kkoo mtaa wa Kongo afu micodes aliyotaja mule mule nilishtuka…!! Alizingua mwishoni nikajua huyu anabet 😹😹
 
JF ina watu bhanaa, nimependa raba zake, simple afu classic.
[emoji91][emoji91][emoji91]
Wii wangu wa moto πŸ”₯πŸ”₯
Sasa anashinda kkoo atavaaje mironya? 😹😹😹
 
[emoji81][emoji81][emoji81] Anawahi kutupa soft life udugu!!
Aliwahi kusema kaniona kkoo mtaa wa Kongo afu micodes aliyotaja mule mule nilishtuka…!! Alizingua mwishoni nikajua huyu anabet [emoji81][emoji81]
[emoji23][emoji23][emoji23] ko ulishanzaa kuingia uoga ama nenee??
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ko ulishanzaa kuingia uoga ama nenee??
😹😹😹 Hapana sikuingia uoga wa kumuogopa ila niliona km ananiletea makuzi. Mi sitaki kujulikana na yoyote JF
 
Labella

Udugu niongezeke au nibaki hapa hapa? [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 3587813
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
πŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈ

Jamani uduguu 😍😍😍
Mbona wa moto sana wee mtotro 😻😻

Mama kazaa hapa.!!
Usipungue wala usizidi umekuwa hot na ako kamwili πŸ˜˜πŸ’‹
 
[emoji81][emoji81][emoji81] Hapana sikuingia yoga wa kumuogopa ila niliona km ananiletea makuzi. Mi sitaki kujulikana na yoyote JF
[emoji23][emoji23][emoji23] mdo mdo utafikiwa atiii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…