Selfika na JF: Snap it. Show it

Hili zoez inabd nisimame kwa muda..roho inauma ila ndo ivo..goti kwishnei..View attachment 1288064
Wengi wanalikosea hilo. Halipigwi hivyo. Hivyo wanapiga wazee. Kama ulivyoiweka nyanyua magoti juu. Hilo linapigwa kama push up,magoti yasiguse chini. Nenda nalo mbele,rudi nyuma. Angalia usije ukaangukia meno kwa sbb unaanza. Utagundua tofauti na ulivyokuwa mwanzo. Kwanza tumbo likaza sana. Kwa mara ya kwanza ngozi ya tumbo itakuuma
 
Hahah...leo mkwe ndio sasa nimeelewa habari ya pensheni...
We siku ile si tuliongelea mambo ya baba mkwe ukaniambia nataka tu pension. Ukasema upo kazini kuhakikisha baba mkwe anapatikana. Nilipokuuliza si hukuelewa

Usielewege hivyo hivyo mkwe wangu wa faida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…