Shoga angu shemeji yakO kagoma kununua simu ila ndo ntafanyaje sasa na mie hela sina
Yaani we ndio basi tena[emoji134][emoji134][emoji134]Now at least yo talkin...but u gotta have to master more recipies
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Key Words "back then",, lol mie nilikuwa na miaka 8 na nusu.. basi yaishe [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]13+8=21, am I dreaming? Nimeacha utani rasmi!![emoji39]
Uishie hapo hapo!!Hahah...mzee baba unaweza pata hapa unaita wanao "mkwe" au "mke"...hatarious
Cc Heaven Sent kwa taarifa.No nina 22,, wakati JF inaanzishwa ulikuwa ndiyo mwaka ninaoelekea kutimiza 9.. umeacha utani wa nini??
Hata mimi siwezi kununua simu kwa mtu ambae si mtunzaji.
Inakuwa kama natupa tu hela.
[emoji4]Uishie hapo hapo!!
Hahah nimefanyaje sasa...Yaani we ndio basi tena[emoji134][emoji134][emoji134]
Teh teh teh teeeeh!!Hahah nimefanyaje sasa...
Mi najaribu kumpa maujuzi mwanaume mwenzangu hapo, akipata hata viugeni aweke heshima...
Mie mzee mwenzio, mkeo ndio mtoto.[emoji4]
Inasikitisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Inasikitisha[emoji23][emoji23][emoji23]
Angalau basi nitaniane na 26+, ilà kibaiolojia natakiwa nitaniane na 30+[emoji39][emoji39][emoji39]
Tuma picha yako tena nifanye tathmini, wazazi walikupa simu ukiwa na umri gani? Hivi kumbe soon nitatakiwa kumnunulia binti yangu simu then tupishane kwa utani humu... hahaha!!No nina 22,, wakati JF inaanzishwa ulikuwa ndiyo mwaka ninaoelekea kutimiza 9.. umeacha utani wa nini??
Hata wewe bado, ningewataja ninaotakiwa kufanya nao utani lakini nanyamaza[emoji39][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Kibaolojia tena!! Aaah hapo taniana na mimi tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Cc Heaven Sent kwa taarifa.
Tuma picha yako tena nifanye tathmini, wazazi walikupa simu ukiwa na umri gani? Hivi kumbe soon nitatakiwa kumnunulia binti yangu simu then tupishane kwa utani humu... hahaha!!