Ooh jamani😅😅 mbona ulikua unistui sasa…Yeaaah!! Ndio maeneo hayo hayo nilikua nakuona, pindi nafika pale Mr Classic hair cutz salon,
Umetisha sana mwanakwetuu, kumbe tunapishana njiani na tuko JF wotee.
Aiiiih.
we mwenyewe maneno mengi ka gazeti la kihindi, hebu selfika.Piga nyingine camera si unayo 😹
Wacha weee😆Ndugu yako huyo jirani yangu..!!
Trotroo limenyooka halijpinda wala halina konakona..!!
Picha hiyo mwenyewe leejay akifuta inaondoka..!!Nilisha kwambia uki quote, ondoa picha we huelewi.
Hana kipengele bana leejay kajua kunyoosha 🔥🔥🔥Yaan mlongo angu kanyooka hana kona konaa, kipengele awe nacho shem.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mtu aki quote ina baki, maana anakuwa kasema na copy pacha.Picha hiyo mwenyewe leejay akifuta inaondoka..!!
Ukitaka itoke Ukituma nenda kwenye edit, delete pic acha maneno inakua imetoka haionekani..!!
🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️Si ndioooo!! [emoji91][emoji91][emoji91]
😍😍😍Usijariiii [emoji8][emoji8][emoji8]
Serious jirani bado ipo,. Naomba nisaidie kufuta hii comment basi please 🥹🙏Jirani 🥰🥰🥰🥰
Hii ndo selfika sasa vitu vikali, rangi zimepoa 😍
Jirani nnaye na natamba nayeeee 🤸♀️
Tulimiss hivi vitru muwe mnatupia jamani.
Nyanda za juu kusini stand upppppppp
Ume nyooka madam, ka ni kitabu hiki ni top quality kwenye top shelf.Polee, 😅😀 kwishaaa wewe muulize Intelligent businessman
Na hivi hawajawahi kuniona wametega kwenye kona wanione alooo!! 😹😹😹we mwenyewe maneno mengi ka gazeti la kihindi, hebu selfika.
Umenyooka wa kunyumba 🔥🔥🔥Wacha weee😆
Aiseeeeh nimefurahi kuona mwanakwetu yupo humu [emoji8][emoji8]Ooh jamani[emoji28][emoji28] mbona ulikua unistui sasa…
Itabidi siku tukale mbuzi chanta
Nyeto itakuua mbwa wee 😂Hamna, nilikuwa nimelala mapema tuu, jana Jmos ilikuwa siku ngumu kwangu
Mbona mimi huwa zinatoka 😹😹Mtu aki quote ina baki, maana anakuwa kasema na copy pacha.
nilisha jaribu na ikagoma, anyway acha vijembe 😅😆
Levels babeee!! Ni vitendoo tyuuh, manenoo tupa kuleee.Hana kipengele bana leejay kajua kunyoosha [emoji91][emoji91][emoji91]
Poa ngoja nikaedit pic yako itoke ibaki commentSerious jirani bado ipo,. Naomba nisaidie kufuta hii comment basi please 🥹🙏
[emoji23][emoji23][emoji23]Na hivi hawajawahi kuniona wametega kwenye kona wanione alooo!! [emoji81][emoji81][emoji81]
Sina pic mpya ngoja niangalie video ya jana nilichukua nikiwa live band si unajua mi siogopi dudu wala mende narusha wachanganyikiwe wenyewe…!! [emoji1787]
Imetoka tayari jirani yanguSerious jirani bado ipo,. Naomba nisaidie kufuta hii comment basi please 🥹🙏