Selfika na JF: Snap it. Show it

Oya mwacheni ndugu yangu, apumzike kwa amani
Kwani yuko wapi jamani? 😹😹
Nimemiss hekaheka zake mara anisifie mara aniponde 🀣

Mwanzo tulikua mabest kweli alivyonitongoza nikamkataa weeeh alinishambulia nilikua sipumui humu 😹😹😹

Afu wewe ndo ulikua unampa support mxiueee 😹😹

Mwambie aje tumemmiss babu miga
 
Yuko poa, ana endelea na mapambano ya kijamii
 
Yaan yuleee sijuii yukojee, ukimkataaa anaanza kukushambuliaa.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Astaghfirullah astaghfirullah dunia imeishaπŸ™Œ

Kwa hiyo ulimpa?
 
Mambo yataharibikajee? Kwani unashare bwana na mtu humu? Unatuma mpodido wako kwa watu PM? Km hufanyi hivyo walaa wee tembea kifua mbeleee.
[emoji23][emoji23][emoji23]
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€, yaani hayo mambo yote sina hata PM nimefunga vioja vyote vya humu JF Mchezo naogopa sana
 
😹😹😹 Babu migambutii alinichekesha alivyosema eti uduguu wetu walikuwa wanatumiana picha za mipodido.
Weeh Antonia alimtolea mitusi siku ile nikikumbuka nachekaga sana..!!

Pm zake zinachekesha sana, alisema ana mke mzuri Ila anahitaji mwingine na kaona mi namfaa.
Kuhusu pesa zipo za kutosha nishindwe mimi 😹😹😹

Afu nimekumbuka babu miga na da Feli alipita naye is it? πŸ˜₯

Kwahiyo ulikataa kupoa Mlimani city? 😹😹
 
Chica Gee, post: 56025218, member: 639077"]
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… khaa!! Basi atakuwa mpole kama mimi akiwa na Ras
We ni mpole sana ehh?, au ndio kama smigo wa lord of the rings
[/QUOTE]
Nipo normal tu mpole kiasi, sipendi ugomvi

Halafu itabidi nikutafute unipe list ya hizo movie πŸ˜€ inaonekana unazijua sana movie kalii.. Ngoja nipumzishe Komwe sasa πŸšΆβ€β™€οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…