Jamani nini hiki nakiona π»π»π»Una nn lknπ€£π€£π€£
Nilikuja hukuwepo
Huna baya hujarongwa πSio shida zangu kipenzi, umeona eehπ₯°π
Arsenal bingwaaaaaaaa!!Sema tawire au arsenal bingwa
Ngoja Mbaga Jr aje aunge mkono hoja yakoArsenal bingwaaaaaaaa!!
Ila mama mtumishi amejua kunogaa, umeonaa shapee lilivyojaziaaa?Jamani nini hiki nakiona [emoji76][emoji76][emoji76]
Wewe Tayana mbona km Millen [emoji91]
Sir God anashusha vitu, ukisikia ki portable lnternationally ndo hiki sasa..!!
Awwwww toto km malaika, hauna vipengere mwili ume balance [emoji76][emoji76]
Kwenye outfit ndio balaa code zimetulia na zimepoa..!!
Mbaga Jr njoo uone chuma cha mjerumani sio vile vya TANU ulivyozoea kuviona mpk macho yamekujaa ukungu..!! [emoji81][emoji81][emoji81]
Mic u moa mama mtumishiii, [emoji8][emoji8][emoji8]Miss uuu
[emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Wapareee hao mie ndio vitu vyanguu atiiii? [emoji23][emoji23][emoji23]Anafaa na analika mpk mifupa. Vitu vyako kabisa tall, handsome afu ana karangi flani ya kuku-turn on [emoji76][emoji76][emoji76]
Awwww [emoji76][emoji76]
Li Mbaga lizuriiiiiii mpk linakera..!!
[emoji23][emoji23][emoji23]Hapana, tunahitaji kuona pics zenu kwa wingi kaka zetu wazuriiii [emoji76][emoji76][emoji76]
Hao wagogo tuwapotezee sio level zetu, sisi town tupo by birth not by bus [emoji81][emoji81]
Mama mtumishi wa moto sana π»π»Ila mama mtumishi amejua kunogaa, umeonaa shapee lilivyojaziaaa?
Yaan yuko [emoji91][emoji91][emoji91], woiiiiiiih.
Ila wewe kweli una balaaaπ€£π€£π€£π€£π€£Jamani nini hiki nakiona π»π»π»
Wewe Tayana mbona km Millen π₯
Sir God anashusha vitu, ukisikia ki portable lnternationally ndo hiki sasa..!!
Awwwww toto km malaika, hauna vipengere mwili ume balance π»π»
Kwenye outfit ndio balaa code zimetulia na zimepoa..!!
Mbaga Jr njoo uone chuma cha mjerumani sio vile vya TANU ulivyozoea kuviona mpk macho yamekujaa ukungu..!! πΉπΉπΉ
Usiku huu sio vizuri, maybe morning au mchana tusije pigwa spanaIB fanya kublec bhanaa,
Mie kwenye usafi wa kinywa niko vizuriii, mama alikua anatunyoosha kuhusu kupiga mswaki, na kuoga. Ko hadi ukubwani nazingatia sana usafi wa kinywa. Na hivi napenda kucheka cheka, aww.Yani bhana hatari kilasiku nikikaa kwenye kioo nacheka hatari senyenge zinanihusu ile picha naikumbuka hadi leo [emoji3]
Miss Selfika ni yeyee, vigezo vyote amekidhi. [emoji1652][emoji1652]Mama mtumishi wa moto sana [emoji76][emoji76]
Huyu tumpe Miss Selfika
Spana za ninii? Wee weka hapa sahivi bhanaa. LolUsiku huu sio vizuri, maybe morning au mchana tusije pigwa spana