win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 8,948
- 30,555
slay kwini wa mtandao mahi😅😅Nisiifahamu vipi mimi toto la kisukuma😂
Nikajua we slay queen hujui haya mambo lol 😁
slay kwini wa mtandao mahi😅😅Nisiifahamu vipi mimi toto la kisukuma😂
Nikajua we slay queen hujui haya mambo lol 😁
Jmn ndo naingia nowgood night from this side, ma mchungaji leo ninayo ingine Tayana-wog Seran uliho?
ulienda wapi ma mchungaji wakati ibada imeisha mapema kabisa🙂Jmn ndo naingia now
Salama??
Irudiweee
Nyuma ya kibodi unakandamiza ugali wa mtama, furu na miiba yake sio🤣slay kwini wa mtandao mahi😅😅
umejuaje?😅😅😅😅 alf mbona una kesiNyuma ya kibodi unakandamiza ugalinwa mtama, furu na miiba yake sio🤣
Nimefanya nini tena jamani😆umejuaje?😅😅😅😅 alf mbona una kesi
Na uzee huo bado unahangaika na mimea 🤔
naomba namba yako ya wasp😎😎Nimefanya nini tena jamani😆
Furu na mifupa yake😃Nyuma ya kibodi unakandamiza ugalinwa mtama, furu na miiba yake sio🤣
Siku hizi tunaita mawashio lol 😀Furu na mifupa yake😃
Bugarika moja
Sie huwa tunatoka sa tisaulienda wapi ma mchungaji wakati ibada imeisha mapema kabisa🙂
lol kanisani kwenu kuna rahaa,, hebu nipe location j2 nije tujumuike💃💃Sie huwa tunatoka sa tisa
Tuna ibada 4....coz naposali ni cathedral(kanisaa kuu)
Tukitoka huwa ni out ss mpk usiku😅😅
Raha gani🤣🤣lol kanisani kwenu kuna rahaa,, hebu nipe location j2 nije tujumuike💃💃
Kumbe wewe ni kkkt nikajua yale makanisa ya kukurupuka😅Raha gani🤣🤣
Tukimaliza ibada
Huwq tunajitoa wenyewe
Jpil ni siku yq kutoka
Karibu kkkt....
🤣🤣🤣ila wwKumbe wewe ni kkkt nikajua yake makanisa ya kukurupuka😅
Walutheri na wakatoliki wametuliza akili😅 njoo kwa hao wengine sasa 😅🤣🤣🤣ila ww
YEs mi mlutheri bwana
Uzi wa United , ulikua mkali sanaKwa heshima ya Boma.View attachment 3583733
Sana halafu mimi Arsenal .Ila niliukubali sana.Uzi wa United , ulikua mkali sana
Za arsenal ni nzuri ila mimi siwezi vaa takataka za asenane😅Sana halafu mimi Arsenal .Ila niliukubali sana.