Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Safi, mimi pia weekend moja moja nacheza mpira kwenye team yetu ya street ni kiungo tegemeo, hivyo sio mlevi tu , mazoezi na michezo hasa mpira wa miguu na volleyball ndio kwangu huko🤗
kiungo tegemezi🤣🤣🤣🤣
siamini
 
hivi pombe haiathiri matokeo ya mazoezi?
coz mimi junk food tu naziogopa
Mwili ukiwa kwenye recovery mode baada ya kunywa pombe sifanyi mazoezi kabisa , ni kula matunda sana na maji na mboga mboga , nikiwa poa ndio napasha sana , nikimwambia mtu anae nijua natumia pombe hauwa anakataa kabisa 😀
 
i cant go through all that aiseee
sababu kumantain tu msosi ni mahesabu
duh...
pombe inachosha sana inakuhitaj ule mi junk yakutosha

yaani gym hadi mapenzi inabid upunguze🤣
 
Mwili ukiwa kwenye recovery mode baada ya kunywa pombe sifanyi mazoezi kabisa , ni kula matunda sana na maji na mboga mboga , nikiwa poa ndio napasha sana , nikimwambia mtu anae nijua natumia pombe hauwa anakataa kabisa 😀
so inakubid gym na gambe zipishane siku moja moja?
🤣🤣🤣
 
Attachments

  • IMG_1935.jpeg
    IMG_1935.jpeg
    589.2 KB · Views: 11
Back
Top Bottom