Huhuhuhuhupolee, on ma way kukuletea tiba yako sitaki uskip doseš„° Poker
HohohohohoHuhuhuhuhu
mi nakaaga kijijini sikuzote, siendagi hata townšŖVp usharudi town au bado uko kijiji?
Nikwambie alipo?We nipe location nisogee hapo ulipo, ikishindikana niambie nauli shs ngap nitume win-one
mahii umeanza uchuro eeehš¤£š¤£ huyo hawezi kufika huku kwetu acha mie niwafuate huko mjini jamaniNikwambie alipo?
Embu niambie alipo, maana nimepokea kiinua mgongo changu nataka anishauri nikitumieje.Nikwambie alipo?
Endelea kujizima data ukiendelea kumzungusha mi namwambiamahii umeanza uchuro eeehš¤£š¤£ huyo hawezi kufika huku kwetu acha mie niwafuate huko mjini jamani
Nishamwambia alegeze kamba akiendelea kukaza nishatueEmbu niambie alipo, maana nimepokea kiinua mgongo changu nataka anishauri nikitumieje.
haya nwambie sasa aje kukutana na bundi plus fisiššEndelea kujizima data ukiendelea kumzungusha mi namwambia
Furaha yangu nikuona wapendanaošāāļøšāāļø
nipo iringa ndani ndani kabisa,, hiyo zawadi ya aifonii mpe shoga angu ShesRise_1 anitumie huku jijini kwetu anapafahamu fikaašWe niambie uko kijiji kipi mi wala siogopi fisi na hao bundi. Maana ulivonikaa kichwani hata mate nikimeza saivi hayapiti.
Nataka nikununulie na zawadi ya iphone 17 unasemaje win-one
Darlingnipo iringa ndani ndani kabisa,, hiyo zawadi ya aifonii mpe shoga angu ShesRise_1 anitumie huku jijini kwetu anapafahamu fikaaš
abee sweetheartšDarling