Selfika na JF: Snap it. Show it

Hakuna aliyenituma, namfahamu deppal. Mnaandika uzushi ili mjipe furaha? Halafu?
Wewe una tuhumiwa mangapi humu?
Leo tuko na Debo na fake P, subiri siku yangu ifike nawee utoe hizi tuhuma zangu unazozijua jamanii wee baba khaaaah.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo sasa, mwenzake smart anakaa chonjo anatazama shengesha zinavoenda, hatii neno wala nini, anatia Likes tyuuh.
Ila Mr miongozo mkavu yule baba jamaniii, khaaaah.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Awe smart km Miongozo

Huyu bartsar km jina wake anawaza ngono tu ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Hizi hasira tafuta pa kuzipeleka. Huwezi shindana na mtu alite smart. Hutafanikuwa utaanguka. Tafuta maisha, deppal ana yake kuandika uzushi hakukuoi furaha yoyote
Hiki ndio kinachomponza anahadaika. Uzushi unajibiwa kwa evidence hizo zote? Jana ulikua wapi wakati nipo mguu sawa nachambwa na mtoto?
 
Mi shenzy kweli bro [emoji81][emoji81][emoji81]

Sasa CH tumble unamtaka nani sio kuwavuruga mademu zako wanataka kuuana kisa dyudyu lako unalopaka vumbi [emoji1787][emoji81][emoji81][emoji81]
[emoji23][emoji23][emoji23] uduguu we chizi ujue, eti dudu unalopaka vumbi.
Wee ulijuajee??
 
Hakuna neno la maana utaweza kussma. Maumivu uliyonayo yatibu kwingine. Maskini usiye na future
 
Mi shenzy kweli bro ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Sasa CH tumble unamtaka nani sio kuwavuruga mademu zako wanataka kuuana kisa dyudyu lako unalopaka vumbi ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
CH Hana huu upumbavu Hawa ni kina kaundime tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ