Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji1787][emoji1787] Mimi Sina hisia zilisha tangu, str joro, fake attention mnazompa ndio zinamponza. Huyu sio wakumuonea huruma hata kidogo, anatangaza ubaya Hamjui mtu hawezi kujidefend, Lakin Kwan mnamuita debora?
Kamanda pambania penzi lako kwa CH, as if ulisema alikua mwema kwako na hamkugombana wala nini, wee pigania kilichokua chako, kumbuka CH ulianza kumjua wee kabla ya Debo. Lol

Usipoteze ushindi kirahisi hivyo, wee huoni Shouzz kamrejesha kwake Mr miongozo, why wee ushindwee??
 
Mnaandika uongo ili mjifurahishe kuwa mmekuweza depal? Tafuteni njia nyingine
Uongo uko wapi?
Wewe km unaujua ukweli weka tuone..!!

Halafu issue za wanawake wewe zinakuhusu nini umeacha kuangalia mpira na kubet basi cheza game ulale..!! Namna gani B ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Debo ana wake wenza wengi humu ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Nimekumbuka na wewe mke mwenzio uduguu kwa M ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Huyu anaonekana ana fake life inatakiwa achunguzwe shenzy zake..!!
Wewe pia shenzi zako. Kwa kuwa kwenu si nyumba ya ghorofa au hauishi masaki kwa hiyo hutakiwi kwenda hata hotelini kunywa juice?

Acheni akili za kimaskini
 
Kwenu kupoje? Hapo kna ubaya gani? Mnaongea usengerema mtupu.
Pia maswala ya wazazi ya kazi gani? Mmeshindwa kumzungumzia yeye mwenyewe?
Wee BE au CH kwa vazi jingine hapa JF? tulia kidogo, jana ilikua zamu ya Debo, Leo Fake P. Em tuache plz. Khaaah.
Umetumwaaa?? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yote uliyoandika ni uongo. Mimi namfahamu

Unatafuta sifa za uongo ambazo hazina faida kwako. If you can not beat her ,join her
Sina mpango wakucheka. Kaa chini usimchokoze mtu usiyemjua halafu yeye anakujua. Hakuna rangi utaacha kuona
 
Nimewaza hivyo pia ujue, [emoji23][emoji23][emoji23]
Ni YEYEEE
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Ni yeye wanaume wa humu wacenge wacenge sana linapokuja suala la kugombaniwa na mademu..!!

Hebu atulie km miongozo analitendea haki jina lake smart..!! Huyu kitombi poumbou limemjaa kifua mbele kutaka kutuharibia ubuyu wetu mxieeeew ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
We fake P huyo D anasema wewe ni bff wa bwanake sasa kwanini unamchunguza na kumfatilia na kumtisha??
[emoji23][emoji23][emoji23] ko Debo anaogopa kwata na Doso kutoka kwa Fake p? CH yupo atawaamulia bhana.
 
Kuna kitu muhimu sana kaweka kwenye ile comment uduguu nitakurushia pm [emoji81][emoji81]

Yani mods wamefuta chap, nilipiga shot kabla ya kusoma vizuri..!!
Nitumie PM plz uduguu, [emoji23][emoji23][emoji23]
Niko kusubiri kuona jamaniii
 
Sina mpango wakucheka. Kaa chini usimchokoze mtu usiyemjua halafu yeye anakujua. Hakuna rangi utaacha kuona
Hizi hasira tafuta pa kuzipeleka. Huwezi shindana na mtu alite smart. Hutafanikuwa utaanguka. Tafuta maisha, deppal ana yake kuandika uzushi hakukuoi furaha yoyote
 
Wewe pia shenzi zako. Kwa kuwa kwenu si nyumba ya ghorofa au hauishi masaki kwa hiyo hutakiwi kwenda hata hotelini kunywa juice?

Acheni akili za kimaskini
Mi shenzy kweli bro ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Sasa CH tumble unamtaka nani sio kuwavuruga mademu zako wanataka kuuana kisa dyudyu lako unalopaka vumbi ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo sasa, mwenzake smart anakaa chonjo anatazama shengesha zinavoenda, hatii neno wala nini, anatia Likes tyuuh.
Ila Mr miongozo mkavu yule baba jamaniii, khaaaah.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ko Debo anaogopa kwata na Doso kutoka kwa Fake p? CH yupo atawaamulia bhana.
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น CH *** kweli kapitia mlango wa nyuma kutuletea upuuzi wake hapa..!!

Fake P hebu shusha mafile usiogope wala usijibu viburushuti..!! Focus na uzi
 
Mi shenzy kweli bro ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Sasa CH tumble unamtaka nani sio kuwavuruga mademu zako wanataka kuuana kisa dyudyu lako unalopaka vumbi ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Unaijua fake life? Au unaropokwa?
Akili zenu za kimaskini tafuteni pa kuziamishia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ