Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23] udugu Debora ana macho makubwaa?? Una dhambi weweee ujue.
Hayo macho ndo yanawachanganya wanaume wa JF, akiyaweka kope na kungumanga ni balaaa [emoji91][emoji91]
[emoji23][emoji23][emoji23]
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Debo ana jicho la kunyegesha uduguu afu jeupeee km la Stara Thomas..!!

Fake p kamuita mwenzie pimbi eti kafupi..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Mi najua wivu wake tu..!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23] uduguu nacheka kwa sauti hapaa ujue. Mbona kawashika hadi zaga (1200)
Hawasikii wala hawaoni kwa Dada Debora. [emoji23][emoji23][emoji23]
Unaambiwa na sio mnyimi muda wote anampa akijisikia hamu, sasa bibi mjeda yeye muda wote yuko lindoni analala nje km panga huduma hafifu ndo D alipomzidi hapo..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
[emoji81][emoji81][emoji81] Debo ana jicho la kunyegesha uduguu afu jeupeee km la Stara Thomas..!!

Fake p kamuita mwenzie pimbi eti kafupi..!! [emoji81][emoji81] Mi najua wivu wake tu..!!
[emoji23][emoji23][emoji23] hadi Pimbi uduguu? Em sema kwelii? Jamani CH anawapakia mkongo hawa watu, mjeda na muhasibu wanapigana vikumbo kumuwania mjeda mlokolee.

Nacheka km mwehu hapaaa!! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Debo na Fake P mbona wanaweza kuwa sawa kiumri, ko wote ni mishangazii.

D Yeye pale penye mahaba ndi ndi ndi ndo anaingia kuyatindinganya yaan anakua roho kwatuuuu. [emoji23][emoji23][emoji23]

Hapoi wala haboi. Woiiiiiih
 
Unaambiwa na sio mnyimi muda wote anampa akijisikia hamu, sasa bibi mjeda yeye muda wote yuko lindoni analala nje km panga huduma hafifu ndo D alipomzidi hapo..!! [emoji81][emoji81][emoji81]
Kwani yeye CH hawi lindoni? Mbona sio mnyimi, na Debo hajui kunyima, uchoyo yeye sio shida zake kabisa, [emoji23][emoji23][emoji23]

Kapewa buree, ya nini akibane bane? [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila sisi? Khaaah
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hadi Pimbi uduguu? Em sema kwelii? Jamani CH anawapakia mkongo hawa watu, mjeda na muhasibu wanapigana vikumbo kumuwania mjeda mlokolee.

Nacheka km mwehu hapaaa!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Eeehh uduguu pimbi ilikuwepo ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Na unaambiwa jana baada ya vurumai kaenda kulala kwa D wanapanga kuhusu ndoa hii fake p haijui..!!

Asubuhi ndo D kampa taarifa soon anapelekewa card na D kasema muda wa kurusha ua anataka fake ndo alidake ili atafute wake wa kumuoa..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Debo na Fake P mbona wanaweza kuwa sawa kiumri, ko wote ni mishangazii.

D Yeye pale penye mahaba ndi ndi ndi ndo anaingia kuyatindinganya yaan anakua roho kwatuuuu. [emoji23][emoji23][emoji23]

Hapoi wala haboi. Woiiiiiih
Unaambiwa fake P alikasirika sana Debo kuachana na miongozo na kile kipindi Debo alivyokuwa anataka kurudi kwa Miongozo kumbe penzi lilichacha kwa CT na yeye ndo alivuruga mpk ujauzito wa D ukatoka ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Sasa CT akakumbuka utramu wa kitumbua cha D akarudi weeeeeeh bibi mabaka akapandisha mori la kina mura si mkurya yule unaambiwa kiliwaka anatoa vitisho atafumua mtu ubongo hataki kushare kendree na mtuuuuu๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Kwani yeye CH hawi lindoni? Mbona sio mnyimi, na Debo hajui kunyima, uchoyo yeye sio shida zake kabisa, [emoji23][emoji23][emoji23]

Kapewa buree, ya nini akibane bane? [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila sisi? Khaaah
Aaaahhh dada D sio mchoyo kabisaaaaa..!!
Unapewa mzigo ujisevie hadi uchoke weyeeeโ€ฆ yeye uchoyo sio vitu vyake..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Sema nasikia D kuna shogaake mmoja kapita na CHmakubwaaa uduguu..!!

Fake P alitakiwa aje ayatoe yote hayo hapa ana mkanda mzima..!! Heeeeeheya
 
[emoji23][emoji23][emoji23] D Hafungi ndoa na CH, niko hapaaa, ataachwa vibaya sana.
Tatizo huwa anaingia kwa wanaume ambao wenye wanawake wao.
Kuanzia M, Mr miongozo na hata huyu CH.

Utakuja uniambie hapa, CH na fake P hawaachani.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Uduguuu, kwani mimba ilikua ya CH? mbona file nililokua nalo mie lilisema mimba ni ya Mr miongozo, ila hakutaka kuzaa nae ndo akachoropoa.

Which is which?? Mabwakuuuuu. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shoga ake gani? Yule yule waliye share kwa Mr miongozo au yupii?
CH mwenyewe kuna mdada alikua anamzengea zengea humu, kipindi hiko D yuko na Mr miongozo, na yeye CH yuko na Fake P.

Afu anajifanya church man, kumbe nae mshenzi tUuh km wengine wa humu.

Sisi tutabondwa uduguu, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Uduguuu, kwani mimba ilikua ya CH? mbona file nililokua nalo mie lilisema mimba ni ya Mr miongozo, ila hakutaka kuzaa nae ndo akachoropoa.

Which is which?? Mabwakuuuuu. [emoji23][emoji23][emoji23]
Pole weeh mimba ya CH sio miongozo..!!
Na fake P aliwaka kwanini kafichwa hilo?

Ilitoka sababu Fake P alisema anamtafuta kokote aitoe hiyo mimba ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
[emoji23][emoji23][emoji23] D Hafungi ndoa na CH, niko hapaaa, ataachwa vibaya sana.
Tatizo huwa anaingia kwa wanaume ambao wenye wanawake wao.
Kuanzia M, Mr miongozo na hata huyu CH.

Utakuja uniambie hapa, CH na fake P hawaachani.
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Fake P haolewi bwana jana kasema anamuoa Debo ๐Ÿคฃ

Fake P sema mbabaifu sana kwann katudanganya? Yani sitaki kuamini km anamuogopa Debo kiasi hiki dah!!
 
Fake P hajamtaja ila kasema atakuja kumtaja ila ndo huyo kakimbia hajaleta team uwanjani saa 5 hii ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Mdomo tu, vitendo aaahh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ