Selfika na JF: Snap it. Show it

anayesemaga hivo ni Lamomy
Jichanganye km hujakutana na bichwa komwe. JF ni kichaka…!! 😹😹😹

Kulikuwa na figo humu alikuwa anatupia picha Beyonce akasome, kumbe kidume cha mbegu. Niko nimekaa paleeeeee.
Huu Uzi naujua mwanzo mwisho na sisi ndo wachachuaji na wambea wakuu wa huu uzi. Tukiuamulia JF majukwaa yote yanahamiaga humu upo nyonyo? 👌😹😹
 
😁😁😁basi ngoja niendelee ku zoom
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimejikuta nimecheka🤣🤣🤣,mtu unasamehe Hadi kula kisa Uzi huu😷🙌
 
hivi yule figo kumbe alikua njemba? nimelia sana😭😅,,,

lakin naomba umuache shemeji yangu kashaangukia kwa shoga angu asije akagaili kutupeleka vacation jamni🤭🙂,,

chai ya rangi shem wangu naomba usimsikilize Lamomy zile picha za majuzi zilikua za kweli buanaaa😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…