Selfika na JF: Snap it. Show it

Endelea kuwategemea maana mapovu yanawatoka sio mchezo😂

Hivi babu mjukuu mmoja unanua shingapi nijitathmini🤭
Kununua tena jamani....hao ni wajukuu zangu kabisa na Bibi yenu, tumewalea wenyewe 😊

Kuwaagiza Kiko, ni sehemu yao kurejesha fadhila kwa babu yao...

Koh koh koh ....... Inaonekana leo una maswali mengi sana Mjukuu hadi kiko inanipalia, ukiniletea kiko jioni nitakujibu yote vizuri
 
Kuwaagiza Kiko, ni sehemu yao kurejesha fadhila kwa babu yao...
khaaaa nilikua sijaelewa kumbe ni comment zangu za kukuletea kiko ndo zinajadiliwa hapa🤣🤣🤣🤣,,, nimecheka walah

Babu Grahams uwe unatoa taarifa yawa sema nini nimekoma mwanetu mi sipendagi mabifu🤣🤣🤣 wacha nitulize povu pembeni maana sijielewi,,, endelea kututafuna
 
Hapana sio wewe bhana ni utani tu
 
Ulikuwa ni utani wa babu na wajukuu tu, you were not the target

Si unajua wajukuu wakianza kumtania babu yao hawaachi hadi giza linaingia 😂
 
Things kwa ground hazikuhusu, na tunataniana na babu yetu siye wajukuu lol🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…