Mimi nimeanza nikiwa na miak 24 kipind hiko ninakibiashara changu kidogo nimeingia tu wakanipa na uongoz yani imekuwa kma wameniroga sijaacha had leo ππ
Mara nyingine najiuliza una uzuri wa namna gani na nashindwa pata jibu,
Ukiwepo we ndo chanzo cha kuniponya nafsi yangu inapopatwa majaribu
Lalalalaaaaaaaaaah
Mara nyingine najiuliza una uzuri wa namna gani na nashindwa pata jibu,
Ukiwepo we ndo chanzo cha kuniponya nafsi yangu inapopatwa majaribu
Lalalalaaaaaaaaaah