Naacha kweli nipumzike nimwagilie moyo mwak mmoja ila nitaendelea nisisem uongoLabda ushukiwe na roho mtakatifu ndy utaacha lkn kutamka mdomon hapan
πππVicoba ndio mambo yetuChangamsha ubongo huo uache kuwaza VICOBA muda wote!
Hongera kwakweliMimi nimeanza nikiwa na miak 24 kipind hiko ninakibiashara changu kidogo nimeingia tu wakanipa na uongoz yani imekuwa kma wameniroga sijaacha had leo ππ
Nipo online leo nione chochote kitu walaqhi siku ile sikuona mieπ₯²Nipo salama kabisa ndugu yangu..!
natumaini u bukheri wa afya pia..!
Mi hujanizidi aisee yaani natamani nije Mwanza leo leoNimekumisi pia Poker
Njoo leo leo nitakungojaMi hujanizidi aisee yaani natamani nije Mwanza leo leo
π niimbie nyimbo moja nzuri nipae nijeNjoo leo leo nitakungoja
Mara nyingine najiuliza una uzuri wa namna gani na nashindwa pata jibu,π niimbie nyimbo moja nzuri nipae nije