Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

IMG_20251215_183935_616.jpg
 
😭Inawezekana kabisa Mwaka huu 2025 haukuwa Mnzuri Kwako Ulipata Misiba Umelia sana umehuzunika Sana Pengine Imani yako kwa Mungu ilitaka kushuka kwasababu ya mapito ✍️Lakini nataka kusema neno Moja kwako
👉MUNGU BADO YUPO NA ANAJUA MAPITO YAKO dada kaka Mama mtoto mzee N.k KWAHIYO HATA KAMA HAJAJIBU UNAVYO TAKA YEYE BABO ATABAKI KUWA MUNGU TU

👉Simama na Mungu Mwaka 2026 UTAFANIKIWA KILA JAMBO UTAKALO LIFANYA KWA IMANI👇👇👇👇👇👇👇👇👇
 
Back
Top Bottom