cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,335
- 188,010
😂😂😂😂😂Shem kama shem 😂
😂😂😂😂😂Shem kama shem 😂
Kesho kwenye maandamano ukinionea jirani yangu Tinsley nishtulie wallah? Sijaonana nae siku nyingi.Forever and alwayss mnywanii!
Takbirrrrrrrrrrrr!!!
Tupo mamtu😃Wajaaaa mpoooo??!!!
😂😂😂😂😂
Lock down imekuchosha?Abeee😭😭
Acha tu, inachosha vibaya🙆♂️Lock down imekuchosha?
Mi nimekoma nimekaa ndani mpaka nimechoka nimezurura Insta mpaka sioni kipya tena nimezurura facebook mpaka nimechoka, you tube nimeangalia hadi show za zamani za kina Franco Lwambo Makiadi. Ila at least tangu juzi na jana kuna muda tunazururaAcha tu, inachosha vibaya🙆♂️
Mi nimekoma nimekaa ndani mpaka nimechoka nimezurura Insta mpaka sioni kipya tena nimezurura facebook mpaka nimechoka, you tube nimeangalia hadi show za zamani za kina Franco Lwambo Makiadi. Ila at least tangu juzi na jana kuna muda tunazurura
Labda tutaheshimiana, tuliowapa madaraka walifika point mbaya sanaDaaah! Sikuwahi kufikiria ipo siku tutafika hapa!! Inauma sana.
Walituzoea vibaya sana, japo bado mazoea yanaendelea.Labda tutaheshimiana, tuliowapa madaraka walifika point mbaya sana
Tricky nzuri ni hii kuwasalimia washirika wao na mali zaoWalituzoea vibaya sana, japo bado mazoea yanaendelea.
Is it tho? Sio ndio inaongeza chuki!!!Tricky nzuri ni hii kuwasalimia washirika wao na mali zao
Supporters wa huu mfumo katili ni muhimu kuwasalimiaIs it tho? Sio ndio inaongeza chuki!!!
Shem unapumua? 😂😂😂😂😂😂
kipyudaake ndiyo nini kwanza... hapana hakuna madahara nimepata...
🤣🤣🤣!!kipyudaake ndiyo nini kwanza... hapana hakuna madahara nimepata...
😀 Nitakufundisha..🤣🤣🤣!!
Hata naelewa sasa kiswahili nilifeligi asee!